Recent content by Bubango

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nateseka na wanangu, wasamaria wema nisaidieni nipate pa kuishi na mtaji wa genge

    Msaada halafu una simu ya smartphone tena na application ya JF.......Kweli Bongo kila mtu ni Graduate!!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kukaa kwa Baraza la Mawaziri, baadhi ya Wizara hazina Mawaziri kamili

    Juzi kati Baraza la kwanza la Mh.JPM lilikaa kikao chake cha kwanza. Kawaida Mainabu waziri si sehemu ya Baraza. Najiuliza wakati wa kikao waziri 4 hazikuwa na wawakilishi? Au waliingia ? Kama hawakuwepo utekelezaji wa maagizo/ maazimio itakuwaje kwa waziri husika? Naombeni wana Jikwaa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Huyu Jerry Muro ana matatizo gani jamani?

    Anahitaji ushauri wa hali ya juu.....
  4. B

    JamiiForums Tanzania Huyu Jerry Muro ana matatizo gani jamani?

    Kama kweli alifika ngambo ya pili hasa kwa kundi hili la watu maalum.....
Back
Top Bottom