Recent content by bton

  1. B

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Leo hazijaita lakini sio
  2. B

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    bado wanaendelea wanaita kwa awamu
  3. B

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    zinaendelea kuita au wameshamaliza?
  4. B

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    bms ni tofauti na wasomi madaktari au?
  5. B

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    usaili umeshaanza huko ruvu?
  6. B

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Ngoma imeisha labda kama mbanga wako anakupigishia bms
  7. B

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    kazi kwisha kama kutakua na wa oljoro ni wale bms basi
  8. B

    Gari hizi usisafiri nazo Mkoani: Usifanye haya, Tanganyika inakuhitaji.

    prado mchaga zina defect kidogo ball joint zake ili uwe salama inabidi ubadilishe angalau mara moja kwa mwaka na uwe umefanya alignment ya tairi za mbele hapo utakua salama
  9. B

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Naona kwa huko uhitaji utavutia matapeli kua makini tu mzee
  10. B

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    sijajua maana huwa Wanachukuliwa mujibu hawa ambao ndo walimaliza mujibu mwezi wa tisa mwaka huu najua kozi yao inaishaga mwezi wa 7 military science alafu ndo wanaenda TMA, na kama kozi ni miezi 6 itakua labda wanaanza januari hapo naongea kwa kufikiri tu ila sijui chochote
  11. B

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    uko sahihi ila orjoro inakuaga ni wale form 6 science ambapo wanapata kozi ya miezi 6 awali kama ya kihangaiko kwahiyo wao hawaendi huko rts
  12. B

    Tatizo la gari kutetemeka kwenye speed likifika speed ya 70kph hadi 80kph

    hapo shida itakua labda kwenye wheel alignment au mounting ya engine ila kama sikosei hiyo ni 3l diesel au 5l maswala ya spark plug haina huko angaika na miguu ya gari fanya full service
Back
Top Bottom