Recent content by BSITRGB

  1. BSITRGB

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai mawili ya bundi

    usisahau kuleta mrejesho
  2. BSITRGB

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukutana na wanyama wakali tukutane hapa!!

    wapi
  3. BSITRGB

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukutana na wanyama wakali tukutane hapa!!

    maisha ya porini hatari sana.inaonekana huko kijijini kwenu matukio kama hayo yalikuwa mengi
  4. BSITRGB

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukutana na wanyama wakali tukutane hapa!!

    kabisa
  5. BSITRGB

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukutana na wanyama wakali tukutane hapa!!

    mtama kivipi? alikuwa karibu sana na wewe?maana navyojua koboko huwa anakuwa mfupi
  6. BSITRGB

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu jamii ya Washiraz

    mzee sio wote kuna wamarekani weusi wanafuatilia sana historia now wanajenga chuo kabisa cha kufundisha historia ya Africa.mtafute mtu mmoja anaitwa Dr.Umar Johnson
  7. BSITRGB

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukutana na wanyama wakali tukutane hapa!!

    malizia hapa hapa mzee
  8. BSITRGB

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukutana na wanyama wakali tukutane hapa!!

    alikuwa mwizi?
  9. BSITRGB

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukutana na wanyama wakali tukutane hapa!!

    hivi ngiri si ndo nguruwe pori?
  10. BSITRGB

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukutana na wanyama wakali tukutane hapa!!

    mzee umekula chumvi[emoji3] wengine tulikuwa hatujazaliwa
  11. BSITRGB

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukutana na wanyama wakali tukutane hapa!!

    inawezekana mimi niliona mtoto wa darasa la pili amebebe debe la mpunga tena kwa mwendo wa km 10 inawezekana kabisa watoto wa kijijini wanafanya kazi ngumu katika umri mdogo
  12. BSITRGB

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukutana na wanyama wakali tukutane hapa!!

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].hizo mbio sipati picha.asije akawa alikuwa chui wa kichawi
  13. BSITRGB

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukutana na wanyama wakali tukutane hapa!!

    mi mwenyewe utotoni nimefanya mambo ya hatari sana.Ni Mungu tu alikuwa ananilinda
  14. BSITRGB

    JamiiForums Tanzania Toa sababu kwa nini unaenda kununua Dada poa / malaya

    nimeacha
Back
Top Bottom