Recent content by Brownz

  1. B

    JamiiForums Tanzania Binti Ana Ujauzito wa Miezi 3, Sasa Wazazi Wake Wanataka Nikae Naye—Lakini Bado Sijajipanga

    Mimi sikushauri ila nakusaidia kabisa. Fanya mlete kwangu, ninamshahara wa 150,000 kwa mwezi ataishi vizuri tu. Ova
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anawaza kuvunja ndoa, lakini nyumba yake alijenga kwenye kiwanja cha wakwe, afanye nini?

    Alipojenga nyumba eneo la ukweni hakua na Akili kabisa. Na Sasa analilia nyumba wakati tayari anawatoto wawili, mwambie bado hana akili tena
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu; mguu nje, mguu ndani

    Be a Man, lazima kuna sehemu ulichemka kumtengeneza awe unavyotaka, lakini pia wanawake wengi kwenye ndoa wanahicho kijitabia kiasili kujiamlia mambo bila ruhusa hasa uchumi wanahisi ni jambo lao binafsi. Pili hiyo biashara anayofanya hao jamaa huwa wanaushawishi mkubwa sana, pengine kalishwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu; mguu nje, mguu ndani

    Uliwahi sana kuoa kabla hujatahiriwa bila ganzi. Mke sio kama nguo uvue hii uvae Ile simply. Anyway" Marriage is not for everyone."
  5. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    Kabisa na viboko kama havitoshi waongezee na mamba kabisa, 😂
  6. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    Popoma tu. Msomi gani hujui dressing code zinazofaa kwenye usaili tena kazi za Utumishi wa Umma?. Shame on you, idiot pro max
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nataka niuache udomo zege nimechoka

    Tafuta Mbwa kwanza uanze kujifunza Dogy style.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tuelewane waungwana, kuna tofauti gani kati ya hizi style?

    UMALAYA TU
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tuelewane waungwana, kuna tofauti gani kati ya hizi style?

    Aina hii ya Vijana wanamchango mdogo katika Taifa
  10. B

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi kuna mstari mwembamba unaotenganisha mke na mchepuko↔️mme na hawala

    Sijui kwa nini unatumia jina la ELI COHEN lakini yule mtu alikua na akili sana.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Je ratiba ya waajiriwa(wanawake) inawapa nafasi ya kutimiza majukumu yao ya ndoa? Je ratiba ipangiliwe vipi ili majukumu ya ndoa yatimizwe?

    Gender equality a.k.a 50/50 imekuja na madhara makubwa sana kwenye ndoa. Ile test ya kusema ninamke inakua haipo, kupikiwa, kufuliwa, kuoga, kupakuliwa msosi, kunyolewa kunako, kupokelewa kwa bashasha na kuvulishwa nguo n.k utavipata kwa form four failure tu, au vidumu pro max.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wadau hivi Sex Friend anakuwaje sielewi kitu

    And sex is not for everyone.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Shemeji ananitaka

    Tena shemeji mwenyewe wa mchongo tu, sio wa blood
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mke anashindana na mume na hataki kukubali kushindwa, nini' kifanyike?

    Samaki mkunje angali mbichi, mwamba alijisahau hapa tu.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

    Kosa ni lako mwenyewe, umetongozwa Leo Leo, ukatoa utamu Leo Leo. Sasa nani ataoa Malaya?
Back
Top Bottom