wangeacha kutuma wahuni wanaojiita wakatoliki ningeamini samia amekaa kimya, ila kutuma wahuni na mafirauni kujifanya ni wakatoliki ni kukosa hoja kama wewe mwenyewe usivyo na hoja kwenye andiko lako
Yule ni KATIBU WA BARAZA LA MAASKOFU na kwenye vikao vyao ndo anaratibu. Katoliki syo pango la wahuni kama yalivyo makanisa mengine.
Wangekuwa hawamtaki wangeshamuondoa au kumueleza humo humo ndani ya vikao. Hawaruhusu watu wajinga kama nyie kupata nafasi ya kuhoji ujinga wenu
Kama ulikuwa hujui kuwa FREEMAN MBOWE jina lake alipewa na MWALIMU NYERERE, basi wacha nikufahamishe.
Watu wengi hudhani kuwa familia ya MBOWE na ile ya MWALIMU NYERERE ni maadui kwa sababu FREEMAN MBOWE ni mpinzani wa kisiasa.
Hili si kweli. Ukweli ni kwamba familia hizi mbili ni marafiki wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.