Sipendi sana kujadili maswala ya imani za watu lakini ninahisi kwa uimara wa vyombo vya ulinzi vya Tanzania ukiona mtu anaswekwa ndani kuna jambo baya linamhusu. Ni mashekh wangapi wanaendesha ibada lakini hawajakamatwa? Pamoja na maelezo yangu namuombea Marehemu apumzike kwa amani!AMINA
tuache tabia za kujadili dini za watu wengine tabia hii inachochea chuki miongoni mwetu na hakuna mnufaika mkubwa kwenye hili zaidi ya kujiona dini ya mtu ni fahari kuliko ya mtu mwingine wakati wote dini hizi tumezikuta na zimeingiliana pia katika familia zetu. nikija kwenye hoja yako, kwani...
japo mara nyingi watu ni wagumu kutoa jibu ndio kwa maoni yako lakini kwangu ni hapana! maoni ya wadada ni muhimu kwenye mada hii kwakua wao wanajua vema sababu.
Mrsleo.Nimeshindwa kuuliza kule kwenye uhalisia, kwakua nimekutana navyo zaidi ya mara 1 nikajua vipo vingi nje ya hao waliofanya hivyo. ninaamini kama si kwako kwa wengine vipo ndio nikawaza kujua how do they feel to do such a thing.
Wakuu habari za mapumziko!
Ni mara nyingi nimeshuhudia wadada kuingiza vidole midomoni mwao wakati wa majambozi. Nilitamani kuwauliza ila moyo unasita! hebu wadau mkaribie tusaidiane kujua kuna connection gani kati ya tendo na KIDOLE mdomoni? huwa wana feel nini kufanya ivyo!?
Ukitafakari kwa kina unapata majibu kwamba hata Mwl. nyerere alianzisha vitu vingi vya maendeleo lakini vilikufa karibu vyote. nadhani tatizo la sisi weusi ni management hatujawahi kuwa na historia ya kuperform vizur kwenye management si jambo la ajabu kutabiri kwamba hata hii miradi ya Rais...
Kumbukumbu zangu zinanirudisha February 2019 ambapo Waziri Mkuu alisema kero ya usafiri huu itaisha August, 2019.
Jambo la kufikirisha ni kwamba mpaka leo hii bado watu wanateseka na usafiri huu.
Najipa swali kwamba kama tunashindwa kusimamia mwendokasi, treni ya SGR tutaweza?
Hakuna hata moja lililo sahihi kati ya hayo uliyojiuliza. Kama unajua psychology Mh Rais alishasema kwenye hotuba yake leo yakwamba ukimpenda mtu usionyeshe hadharani kwakua atachukiwa na wengine hata kuangamizwa.Hicho ndio akili yangu imekibaini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.