Ngeleja amefanya transformation kubwa sana katika sekta ya nishati na madini....ijapokuwa ni ngumu kwa sasa kuukubali ukweli kwa sababu ya petty politics
Ufafanuzi mzuri aliutoa jimboni kwake....na clouds radio wamamtafuta kwenye power breakfast akatoa maelezo safi na ukweli wa mambo ambapo hapakuwa na mashaka tena....ila tu ni watu wachache wanaomuona Ngeleja threat kwao ndio wanaopenda kuitumia ESCRoW km mwiba wa kumchoma Ngeleja...ila He is Good
Tatzo watu wanapiga sana debe kuliko kuongea ukweli.....Ukimuuliza mtu hapo kuwa okey! ts fine Ngeleja hafai bhasi yupi ambae ni msafi haswa ? anakosa jibu...yupi msafi aje hapa?
Mtu akiwa km waziri...watendaje wake wanaweza waka wabovu na ndo wanaouumizaga siku zote....na sio kwamba yeye ndio lazima ameiba...so tatzo km hilo likitokea inabid waiziri awajibike thriugh Ministerial responsibility na sio km mwizi
Ni kweli hata mi pia nimeisikia ila ile speech inaendelea ijapokuw hatukusikia jinsi ngeleja alivyojibu yale maswali....ila milkard Ayo alimuhoji live tena na aliyajibu yote vzuri tuu
Hahahaha....apart from ESCROW scandal nitajie scandal 3 nyingne ambazo Ngeleja anahusika.....na ujue katika politics kuna character assasination...kuchafuana...na ndicho kilichomkuta...hao wananchi wa sengerema mbn huwa hawaulizi hela za harambee anazotoaga na misaada mbali mbali hizo hela huwa...
Madaraka hakuyashindwa....kwa muda aliokaa madarakani aliweza fanya mambo mengi mazuri tuu....ila cheap politics tu za watu wachache ndo zinazotaka kumuharibia
kiukweli huyu jamaa wa kuitwa Ngeleja ipo namna....maana kila kijana ni Ngeleja...yapo mengi sana mazuri ameyafanya....na amenishawishi nimfatilie zaidi maana inaonesha ana kitu cha pekee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.