Recent content by BrotherHim

  1. B

    Moshi: Padri afumaniwa live na mke wa mtu akiwa uchi wa mnyama

    Biblia imetanabaisha kabisa kuwa mtu akishindwa na aoe.Hawa wakatoliki ni wanafiki sana mie naonaga hata hawa masista zao wakitoa mimba.Sasa wanamdanganya nani?Mungu wanadamu au wenyewe?Jibu ni kuwa wanajidanganya wenyewe.Kwasababu ndio wao wataenda motoni
  2. B

    Ni nani huyu - Mwanamboka?

    Mwanamboka gani unaemuulizia?Najua mwanamboka ambae alikuwa tajiri sana miaka ya 80 na 90 na karibuni na miaka ya 2000 ndio yule mwenye luku na like godown pale mapambano.Huyo ndio alikuwa tajiri sana.Na ana mtoto wake ambae yuko kwenye maswala ya mitindo(mwanamama) sijui jina lake.Je wewe...
  3. B

    Wanajamii hii imekaaje ndani ya JWTZ?

    Ndugu yangu nataka nikuelezee ukweli kuhusu swali lako, sio kweli kama Lugalo ina Waganga chini ya 20, u kweli no kwamba inayo wasomi lakini wengi wako maofisini na sio hospitali. Umeshaenda makao makuu pale upanga ukaangalia elimu za hap watu. Au kule posta kwenye ile ofisi yao? JWTZ ni nzuri...
  4. B

    Balozi Edward Mhina Amefariki Dunia...

    Ni kweli hao ni watoto wake ambao wengine wako nje,hawajaja kwenye msiba.Mimi ni babu yangu.Asante
Back
Top Bottom