Recent content by Brother Kelv

  1. B

    Nasaka mume

    Mbona wenye sifa hizo wapo wengi... wakitokea 10 kama hao, utaongeza vigezo vipi kumpata umtakae???
  2. B

    Nahitaji mume 33-40 age

    Ni heri umekuwa muwazi,,, nakutakia mema yote uate mtu wako w maisha
  3. B

    Rafiki wa kiume

    Its good but much on matarial things....
  4. B

    Uhamiaji yaomba wananchi kuwataja Wahamiaji haramu nchini

    Ukweli ni kwamba, vyombo vyetu vyetu vya usalama haviko makini katika kudhibiti wahamiaji haramu, inawezekana vipi raia wakigeni akafika inchini kama mtalii, baadae akaishia kufanya kazi hapa inchini, akaoa na kuzaa watoto na akapata haki zote kama mtanzania.. Wengine wamesoma inchini kwa peasa...
  5. B

    Nipokeeni wanajamiii.....

    Nifuraha iliyoje kujiunga na kaya hii...
Back
Top Bottom