Recent content by Brorey71

  1. Brorey71

    Rais Uhuru asitisha hotuba kwenye maombolezo ya marehemu Magufuli ili kuheshimu adhana ya msikiti uliokua karibu

    It's normal. That's why most of your leaders saw it fit to clap. They were clapping for something normal.
  2. Brorey71

    The church is mental slavery

    Unafanya mizunguko ya bure. Sema tu huamini mungu yupo.
  3. Brorey71

    We ulisikia wapi? NTV ya Kenya imemuangazia Mbunge Seleman Bungara

    Mbunge huyo ana hoja dhabiti. Nilishawahi kusikia akiwatetea wananchi waliomchagua walipokumbwa na mafuriko.
  4. Brorey71

    Ruto's philanthropy exposed

    44 minus 10 gives 34. The number of posts remaining for the other 42 tribes.
  5. Brorey71

    Ruto's philanthropy exposed

    We jamaa unasema watu waliapply hio kitu wakikuyu pekee ndo walikuwa wamequalify? Kwani qualifications za PS ni nini coz ni kama hujui
  6. Brorey71

    Ruto's philanthropy exposed

    It's funny that somehow ni kama you're suggesting ni fault ya watu wa mandera kudeployiwa hao polisi wote. It shows how much you don't care. Btw do you know how many people from other places wished they had what you call 'kabarabara' in vain? I don't know where you come from but clearly, you...
  7. Brorey71

    Ruto's philanthropy exposed

    Point hapa ni watu wa tribe zote wako qualified. So if you have ten jobs , what would be the criteria for choosing if all ten who get the job turn out to be one tribe? Are you saying no other person from the other around 42 tribes in Kenya qualifies for even one of the PS posts????? Go sell...
  8. Brorey71

    Ruto's philanthropy exposed

    Usituambie mambo ya qualifications jomba. Mimi nilisomea computer science with first class from moi but I've realized jobs Kenya si qualifications. It's all about tribalism, nepotism, corruption name them.
  9. Brorey71

    Ruto's philanthropy exposed

    Hatutaki nasaha yako. Tuna akili zetu
  10. Brorey71

    Ruto's philanthropy exposed

    Ulikuwa umezaliwa 2007? Coz you could be talking to someone who doesn't even know what happened.
  11. Brorey71

    Watanzania wanatafuta Kenya na Wakenya wanatafuta Afrika Kusini

    Ndo maana unakoona ni hapo kwenye pua lako tu. Huoni mbali. You want to re-invent the wheel. Good luck with that.
  12. Brorey71

    Watanzania wanatafuta Kenya na Wakenya wanatafuta Afrika Kusini

    Kukitumia si hoja, hoja ni jinsi inavyotumika. Mataifa yepi yanatumia Kiswahili kama lugha ya kufunzia masomo mengine? Mataifa yepi yanatumia Kiswahili kufunza physics kwa mfano? Nawe acha kujikaza bure
  13. Brorey71

    Watanzania wanatafuta Kenya na Wakenya wanatafuta Afrika Kusini

    Sawa mkuu. Ngojea miaka zako 50 za kukua. Nina uhakika mataifa mengine yatakuwa yanasubiri Kiswahili chenu kikue.
Back
Top Bottom