Recent content by Brigit86

  1. Brigit86

    Ni mimba au wasiwasi wangu tu?

    Thank you for the positive feedback.
  2. Brigit86

    Ni mimba au wasiwasi wangu tu?

    Nilienda hospital kama ni gonorrhea si ningeambiwa jamani
  3. Brigit86

    Ni mimba au wasiwasi wangu tu?

    Asante, je hizi zitakua Ndio chanzo ??? Na ni dawa za nini?
  4. Brigit86

    Ni mimba au wasiwasi wangu tu?

    Icho kipimo si mpaka ifike mwezi au?
  5. Brigit86

    Ni mimba au wasiwasi wangu tu?

    Nna wasi wasi sijapata siku zangu nimechelewa wiki ya pili sasa mpaka naanza kuhisi nna mimba lakini pia nahisi ni hizi dawa je inawezekana ni chanzo? Nlijiskia kuumwa nlipoenda kupima nkaambiwa mma typhoid laja nlipoanza hii dozi ni siku ambazo mzunguko wangu unaanza. Mwenye kufahamu a...
  6. Brigit86

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ushawai kutana na usiemjua na mkaenda kuingiliana? Basi alikua kazini mwanamke anaejielewa awezi fanya huo ujinga
  7. Brigit86

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mpaka naja kwako means nimepanga nini naja kufanya kama kukusalimu itakua ivo tu na sivyo tofauti na hapo
  8. Brigit86

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hapana ikitokea ni kwa kuplan kabisa sio ya kushtukizana mtakuja kutana na vitu vya ajabu shaur yenu
  9. Brigit86

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ndio maana nimeanza kwa kusema kwamba hao wote waliamua hakuna masihara hapo, sasa huoni kabisa umejiandaa kubaka kwanini ulazimishe kumuingilia mtu kama hayupo tayari?
  10. Brigit86

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Labda sijaelewa mbona visa vingi naona dhahir wote mmepewa kwa hiari sio “kimasihara” na Kuna baadhi yenu mmebaka kabisa. Na mkae mkitambua mpaka unavuliwa chupi na mwanamke ni yeye ameruhusu unaweza kulala na mwanamke kitanda kimoja akiwa hata mtupu na usifanye au kupata chochote.
  11. Brigit86

    Vitamu vyote vimekatazwa. Hivi Duniani tumekuja kufanya nini?

    Mnaishiaga hapo tu endelea mistari ya mbele kwenye ilo neno je yanasemaje? Na swali kwako mleta mada tupo agano la kale au agano jipya?
  12. Brigit86

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Duh Kwaio mna angaliana mnavyofanya vitu vya Siri Kama hivyo? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom