Recent content by Brightson brighton1

  1. B

    Mwanachama mpya, nikaribisheni

    Helllow jamani wana jamii forum mimi naitwa Brightson Brighton nimwanachama mpya wa jamii forum naombeni mnipokee na tushirikiane kwa pamoja 👋
  2. B

    Huu ufaulu kidato cha nne nisome tahasusi gani?

    Sasa HGE si hawata nipokea maana math nina F
  3. B

    Huu ufaulu kidato cha nne nisome tahasusi gani?

    Wazee wanalazimisha niende Advance ndo shida iyo
  4. B

    Huu ufaulu kidato cha nne nisome tahasusi gani?

    Nina division 2.21, nina grade C masomo yote isipokuwa nina D ya Physics na F ya Math. Je, nikasome combi gani Advance?
Back
Top Bottom