Recent content by brightoscar

  1. brightoscar

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

    Kuna theory magari mekundu yako prone to accident..
  2. brightoscar

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA yameguka, Msigwa na Tundu Lissu wanapanga kuanzisha chama chao

    Wangemchukua Slaa na wakili Mwambusi
  3. brightoscar

    JamiiForums Tanzania Mabilioni ya mababu zetu waliofariki kabla ya kuletewa Uislam kwasasa Wapo Motoni au peponi?

    Walizaliwa upya na kupewa second chance
  4. brightoscar

    JamiiForums Tanzania Kibatala wewe ni wakili mzuri na msomi lakini punguza majivuno na dharau dhidi ya mamlaka

    Kwani Rostam alisema nini kuhusu mahakama zetu hapo ndio kwenye majibu yote…
  5. brightoscar

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Hawa ni watu wawili tofauti muuza madafu hata kiumri ni mdogo kwa Komando ingawa wamefanana
  6. brightoscar

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera aitaka Vodacom imlipe Dola Milioni 1 kwa kufanikisha kutekwa kwake 2019

    Unajua jambo kubwa wanalikosea watu ni aina ya mawakili wanaotumia Peter Madeleke akishatumiwa jambo linabadilishwa kuwa la Kisiasa na uhuru wa mahakama hakuna siasa ndio inaendesha kila kitu, yule mama Singida kaibiwa ushahidi upo watuhumiwa wamekamatwa Babati ila hakuna kilichofanyika hadi...
  7. brightoscar

    JamiiForums Tanzania Wakili anayedaiwa kuyatetea Makampuni yanayokopa na kukwepa kulipa Mabilioni ajitetea

    Waarabu wanapeana michongo tu pita hapa pita pale vuta mzigo nenda kule mzigo wako
  8. brightoscar

    JamiiForums Tanzania Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

    Huyu jamaa ataijua nguvu ya Msoga hawezi kudhalilisha wazee hivyo
  9. brightoscar

    JamiiForums Tanzania Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

    Mi nasubiria Muenezi mpya atakavyokuwa anamuita Makonda jukwaani kujieleza…
  10. brightoscar

    JamiiForums Tanzania HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

    Hivi watu hamzioni Benz C200 Kompressor
  11. brightoscar

    JamiiForums Tanzania Mtoto anakohoa sana na wakati wa usiku hadi anatapika

    Nenda Tabata Segerea shuka muulize bodaboda yeyote kwa Dr Kundy ukifika Hospital hakikisha unaonana na Dr Kundy baada ya wiki leta mrejesho
  12. brightoscar

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara bilionea Dar es Salaam, adai kutishiwa maisha, akimbia kwa pikipiki kutoroka asiuawe hadi Arusha

    Polisi hawahusiki na kesi za madai kesi za madai zinaenda kuanzia level ya serikali ya mtaa mpaka mahakamani , Hao jamaa walitakiwa wampeleke mahakamani mkataba uwe reviewed then waangalie terms zilizowekwa kwenye mkataba kama moja akivunja mkataba nini kinafanyika. Nadhani jamaa wa Mtwara...
Back
Top Bottom