Recent content by brightondeo

  1. brightondeo

    JamiiForums Nahitaji Ushauri na Mawazo yako

    Ckufeli kiujumla isipokuwa matokeo yangu hayakuwa mazuri ya kuweza kuendelea na masomo ya advance
  2. brightondeo

    JamiiForums Nahitaji Ushauri na Mawazo yako

    Ckuwa na shughuli yoyote zaidi ya kusaidia kazi za nyumbani pamoja na shamba LA familia
  3. brightondeo

    JamiiForums Nahitaji Ushauri na Mawazo yako

    Asante kwa ushauri
  4. brightondeo

    JamiiForums Nahitaji Ushauri na Mawazo yako

    Nashukuru kwa mawazo yako
  5. brightondeo

    JamiiForums Nahitaji Ushauri na Mawazo yako

    Habari zenu wana jf, Mimi ni mgeni humu nimekuja kwenu kuomba ushauri na mawazo yenu, maana humu kuna watu wa rika tofauti na jinsia tofauti. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka kadhaa, nilimaliza elimu ya sekondali miaka michache ilopita, sikufanikiwa kuendelea na elimu zaidi kutokana na...
  6. brightondeo

    JamiiForums Huyu mtoto amenifanya nitamani kuwa na familia

    Aaaahhh we jamaa mtata sana nimependa hayo maneno yako
  7. brightondeo

    JamiiForums Wizara ya Kilimo kimya: Mahindi Kusini, bei imeporomoka, soko limedoda na msimu wa mvua unakaribia

    Watanzania hatuna jema yani kila kitu lazima watu walalamike bei ikiwa juu vilio ikiwa chini malalamiko mpaka MTU unashindwa kujua yupi mkulima na yupi mlaji wa mwisho khaaa
Back
Top Bottom