Recent content by brighton chuwa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa ukawa wavuja,wataka kuhalalisha vurugu ionekane imeonewa na kupata huruma ya wananchi.

    Janja yao imejulikana; hawataingia ikulu ng'o
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hili la "kulinda kura" sawa ila watangulie hawa

    Itapendeza sana kama watakuwepo
  3. B

    JamiiForums Tanzania Unajua E.Lowassa sio Mmasai, ni Mmeru aliyeasi kabila, Arumeru mkataeni ila hela kuleni

    uongo umemjaa sana huyu mzee
  4. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

    Loh; utu na uzalendo siku hizi vinanunuliwa...inasikitisha sana
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Mzee wa kupiga madili katika ubora wake
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tumbo ni deni la maisha sio lazima kulipa kila siku.

    Mroho hata apewe au ale nini hatosheki.
  7. B

    JamiiForums Tanzania PPRA yaipa hati safi wizara ya ujenzi, madai ya gazeti la mtanzania ni upotoshaji

    Hata kubonda kokoto ni kazi. Endelezeni tu ulimbukeni wa kujidai kuchagua kazi kila kukicha na mzidi kujibweteka muone kama mtafanikiwa kimaisha.
  8. B

    JamiiForums Tanzania PPRA yaipa hati safi wizara ya ujenzi, madai ya gazeti la mtanzania ni upotoshaji

    Huwa wanatafuta cha kuchafua Magufuli wanakosa, halafu wanaamua kutunga tu stori zisizo na kichwa wala miguu.
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    Endeleni kuota; mkizinduka Magufuli atakuwa kashaapishwa tayari
  10. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    Yote haya yatatimizwa Magufuli akiingia madarakani na kufungua mahakama maalumu ya wala rushwa. Oktoba 25, mchague Magufuli kwa maendeleo bora.
  11. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    Wasanii hawapo na watu wanaenda, nyomi hatari hatari Kinana akiwa Uvinza na hapo bdo alikuwa hata hajafika eneo rasmi la mkutano
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    Kama unahis hii habari inakutia kichefuchefu, lamba ndimu.
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    Habari ya mjini siku hizi ni kutumia hashtag zifuatazo; #HapaKaziTu #RaisiNiMagufuli
Back
Top Bottom