Recent content by Bright eyes

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kusafisha maji

    Zina shida gani ?? Sio nimeshawahi ndio nazitumia daily
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kusafisha maji

    Njia ya asili tumia mbegu za mlonge pia ...pondaponda au saga tia kwenye maji , uchafu vumbi tope linaendaa kukaa chini , chuja chemsha Inasaidia kuua vijidudu pia kwenye maji
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupunguza gharama ya maji ya kunywa

    Inasaidia kusave pesa hasa Kama una familia Asante kwa kushare.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuanzisha biashara na 10% ya mtaji wangu

    Uko sahihi.. Kila la Kheri, Ukafanikiwe.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wenzangu, hali ya kibiashara ipoje huko kwenu?

    Wachangiaji nao wamezidi wamemkalia kooni Sana Wana complicate tu mambo ....yeye alitaka tu maoni hali ya kibiashara Ikoje in general , ila watu wanajikuta much know Mtu anatakiwa ajibu Mimi nafanya Biashara flani hali ya kibiashara iko moja mbili tatu ..Sasa wenzangu na Mimi kucomplicate...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu mashuka, pazia, mito na makapeti

    Ndio 👍
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu mashuka, pazia, mito na makapeti

    Kwanza Anzia sokoni kwa maana ya wateja wako I.e Utauzia wapi au utauza kwa namna gani ? Au utauza vipi .. Maana Biashara bila wateja sio Biashara Step 2 Tafuta Machimbo huko kkoo kwa Bei ya jumla bahati nzuri tuna Kalaga Baho Nongwa mtafute naimani atakupa muongozo mzuri Kulingana na kiasi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nimehitimu chuo mwaka huu; mtaji wa Tsh. 500,000 naweza kufanya biashara gani?

    Kabla ya Kutafuta hilo shamba ... hebu ongeza ongeza hako kaela kwanza ... Naona ili ufanye cha kueleweka huko shamba uwe na mtaji wa kutosha na Pesa ya kusurvive wakati wa kusubiria mazao Au mna mashamba kwenu ? Kwa mtaji huo fanyafanya umachinga au u winga , hebu fuatilia nyuzi za Machimbo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Maeneo 10 ya kupunguza matumizi yako ili usevu kiasi kikubwa cha pesa

    Ushauri mzuri Sana hasa kwa wanojitafuta .. Hizo pesa mtu anazo save azitumie Kama mtaji wa kujiongezea kipato ili next time asijitese Sana kwenye kubana matumizi awe ana enjoy Sasa Asante Sana Ndugu mtoa mada, ubarikiwe na Bwana
  10. B

    JamiiForums Tanzania Dar Kuna fursa nyingi za biashara na kupiga pesa, ni kuamua na kutokuwa na aibu tu

    Mtoa mada Asante , ubarikiwe na Bwana. Sasa nashangaa hao majamaa hapo juu wamekukalia kooni , wakati wewe umejaribu kuwaonyesha fursa , wako busy wanakosoa wakati hizo Biashara tajwa wapo watu wanazifanya hapa Dar na maisha yanakwenda vizuri , Sasa wao wanabisha nini ? Mtu hana mbele hana...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wauza pochi, nakupa chimbo hili ukajimalize mwenyewe

    Unajua zinakaa pcs ngapi
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wauza pochi, nakupa chimbo hili ukajimalize mwenyewe

    Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Bwana
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nauza Magauni ya mtumba, jumla 2500 hadi 3000. Unapata gauni kali

    Za kiume je una Uzoefu nazo ?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa hii ndoto

    Okay , Nilitaka kuingia deep nikupe experience za watu wengine pia la sio mahala pake hapa Kila la kheri .
Back
Top Bottom