Hahaa,, kwenye vikombe hapo... Sijui tufanyeje, lkn navyoona timu y mourinho naishiwaga nguvu kabisa! Uliona sanchez alivyokua anamkaba gundogan..[emoji2960]
Kama kweli mourinho anataka vikombe hvyo,, aanze kubadili game approach sasa, na kujua kwenye defence anaenda na wapi ambao nao tunatak...