Habari ndugu zangu,
Naitwa Brian naishi Dar es Salaam ni dereva mzoefu wa kazi taxi za online (Uber, Bolt) kwa yeyote mwenye gari anahitaji dereva nilikuwa nahitaji nafasi hiyo, document zote za utambulisho ninazo (vitambulisho muhimu).
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Mawasiliano yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.