Tatizo ni kwanza walimu wengi wa sasa hiv wamejikuta tu circumstances zinawafanya kuangukia huko kwenye ualimu...wengi wao sio kitu wanachokipenda kufanya....ndio maana tunaona haya ya walimu kushindana na wanafunzi,walimu wana stress lukuki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.