Recent content by Breki sina

  1. B

    Msiba

    pole sana kaka kwa msiba uliotupata,hiyo ndiyo kazi ya mola .
  2. B

    Live Star TV: John Mnyika na Job Ndugai

    Wana JF,Habari za asbh,kwa ss Ndugai na mnyika ndio wapo studio za star tv .na Ndugai anawasifia srar tv kuwa ndio kituo cha habari number moja Tz kwa maoni yake.
  3. B

    Wabunge wa upinzani watoka nje ya bunge kugomea kikao cha muswada wa Katiba

    Hatimaye muswada ya sheri ya mabadiliko ya katiba,umepelekea kuwepo kwa ubishi mwingi,wa kanuni,ambapo mh Mnyaa kutoka Cuf akiuliza ni kwa nini?wananchi wa Zanzibar hawakupewa nafasi ili kutoa maoni,kuhusu muswada huo,pia na mbunge wa Ubungo mh Mnyika nae akaomba muongozo kwa ukiukwaji wa kanuni...
  4. B

    Wananchi wapigania maji mkoani Arusha katika vijiji vya Murieti na Nadosoito

    Source ITV,Wananchi mkoani Arusha wanepigania maji na kupelekea hali hiyo kuwa mbaya haya yametokea katika vijiji viwili vya kata moja ambavyo ni Murieti na Nadosoito hii ni kutokana kuwa maji ni muhimu sana katika jamii zetu mamlaka husika zina wajibu wa kushughulikia tatizo hili katika nchi...
  5. B

    Mh. Machali aianika wizara ya elimu kufuatia ubovu wa mitihani ya darasa la VII

    kwanza, Thatha kimsingi si kuwa hicho alichokiuliza Mh Machali si kigeni baada tu ya mitihani hii ya majaribio ya matokeo makubwa sasa kufanyika Gazeti la mwananchi na mengine yalichapisha habari iliyowanukuu Mh Mbatia na baadhi ya maprofesa waliouona mitihani huo hasa wa somo la hisabati na...
  6. B

    Nini tafsiri ya swali la Mbowe juu ya Rwanda kwa Waziri Mkuu?

    kwanza wewe,Thatha umejielekeza kwenye sehemu ya pili ya swali la pili la nyongeza aliloliuliza Kiongozi wa upinzani bungeni Mh Mbowe kimsingi hata mie nimemsikiliza vizuri sana sasa tafasri yako na yangu kwenye swali hilo vinaweza kutofatiana kutegemeana na ulivyoelewa muuliza swali alilenga...
  7. B

    Mh. Machali aianika wizara ya elimu kufuatia ubovu wa mitihani ya darasa la VII

    Kupitia kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri mkuu mh Mizengo,Mh machali amemuuliza swali waziri mkuu atachukua hatua gani kwa watendaji wa wizara ya elimu ambao wametunga mitihani ya kupima matokeo makubwa sasa 'Big result now'huku akitolea mfano wa mtihani wa kiingereza ambapo kuna...
  8. B

    Kauli ya waziri Lukuvi baada ya kuzomewa Bungeni, inaonesha anajua wauza unga, atutajie vinginevyo..

    Hongera sana ,Aweda kwa mrejesho mzuri mie binafsi nilimsikiliza Lukuvi akitoa majibu mepesi kwenye tatizo ambalo ni kubwa kwa vijana wanaotumia madawa ya hayo kimsingi Mtubwi wetu Tz umetobelewa ukiwa na vingozi ambao hawawezi kuwajibika katika nafasi zao ni lazima tuchukue hatua.
  9. B

    Mwigulu achafua hewa bungeni na kuzua miguno

    Naibu katibu mkuu wa CCM bara Mwingulu Nchemba akiuliza swali la nyongeza kwa waziri ofisi ya rais utawala bora Mkuchika amesema ni kwa nini viongozi ambao wamesababisha vifo vya watu huko Singida, Arusha akiwataja viongozi wakuu wa CHADEMA; Mheshimiwa Mbowe na Slaa kuwa wafungwe ndio...
  10. B

    Bungeni Live: Hoja juu ya Madawa ya Kulevya

    Kufuatia swali la msingi lililoulizwa na Catherine magige viti maalum mkoa wa Arusha (CCM)kuhusu suala la madawa ya kulevya na kupewa majibu na wazira ofisi ya waziri mkuu sera uratibu na bunge mh Lukuvi, ambapo swali la nyongeza kutoka kwa mbunge wa Karatu kupitia chadema mchungaji Natse...
  11. B

    JK: CCM Tujiandae kisaikolojia muundo wa serikali tatu

    Source Radio Deuch well.Katibu wa itikadi na uenezi wa ccm Nape Nauye akizungumza na mwandishi wa habari amesema ccm kama taasisi wamekaa kamati kuu yao mkoani Dodoma na kupitia maoni ya wanachama wao kwa mujibu wa Nape anadai wanachama wao zaidi ya milion mbili(2)wamependekeza muundo huu wa...
  12. B

    Angalia vituko alivyo fanya mbunge sharobaro wa kenya alipo kuwa nchini china

    Mosi,huyu si mbunge kwa sasa ni Seneta wa jiji la Nairobi kupitia muungano wa jubilee,bunge lililopita alikuwa mbunge wa jimbo la Kibera hukohuko City,kama mnavyojua Kibera ni moja ya maeneo ya Nairobi yenye watu wengi wa hali ya chini hasa vijana wasio na ajili,Mh Sonko wakati akiwa mbunge...
  13. B

    Star tv kimewaka. Jicho letu ndani ya habari live now.

    Mwanza alikuwepo Dotto Bulengo,mhadhiri Gumbo pamoja na mwanahabari Moses upande wa studio ya Dar alikuwapo mhariri wa jamhuri bwana Balile,Kimsingi nimewafuatilia sana na hoja iliyokuwa mezani ni suala la gazeti la jamhuri kuweko na kuchapisha majina ya wahusika wa madawa ya kulevya,nimependa...
  14. B

    Pro Lipumba ainanga wizara ya mambo ya ndani.

    Source Itv habari,akizungumza baada ya kuhitimisha balaza kuu la uongozi la Cuf mwenyekiti wa Cuf taifa amelishambulia jeshi la polisi kitengo cha kupambana na madawa ya kulevya kwa kushindwa kupambana na wafanya biashara haramu wanaouza madawa ya kulevya na kuchafua taswira ya nchi nje ya...
  15. B

    Dr Ayoub Ryoba asema kinachotokea nchini Tz sasa ni hatua ya kuelekea mabadiliko

    Ndugu yangu Notradamme,kwanza nakushukuru kwa pongezi zako kwa hilo uliloliona, kimsingi Dr amegusia mambo mengi,Mabadiliko aliyokuwa anayagusia ni ya kiuchumi hasa uchumi wa kibepari ambapo mabepari wengi wanakuwa na mvuto wa kuvutiwa na raslimali za nchi za dunia ya tatu hasa zenye madini kwa...
Back
Top Bottom