Recent content by braysonrehema

  1. braysonrehema

    Matokeo ya NACTE yametoka?

    Best ujapata za Bunda mm pia nmechaguliwa hapo tayar ninayo Sikh nyng sana
  2. braysonrehema

    Hii ni kwa wote mnaokwenda diploma 2017/2018

    Jaman ndugu zangu ukisha chaguliwa Chuo chenyewe ndio kinakutumia na muda wa kufungua na mwsho wa kuripoti mfano Bunda teachers college wanaanza kuripoti 1/10/2017 mwsh 7/10 na tarehe 9/10 wanaanza kusoma kwahyo ww tazama join instruction na sio maneno ya watu Nacte n hapo hawapo tena Asanteni
  3. braysonrehema

    Joining instructions

    Jaman kuuliza hvyo ni mhmu maana pesa sio daftar kuwa utapata dukan tunaomba watutumie maana watu tuna tofautiana uwezo wa kupata pesa Asante
Back
Top Bottom