Amka asubuhi nenda mishe zako rudi nyumbani jioni, chukua peni na karatasi anza kujiandikia ripoti yako ya siku nzima kuanzia ulipotoka kwako njiani, kazini, njianikurudi home hadi ulivyo fika mtaani kwako na kuingia ndani tena
Asante sana mtoa mada, nimejifunza kitu kipya, ntasoma tena na tena niweze kuzishika vizuri
Kama utanikumbuka basi ukileta uzi unaohusu kula tunda kimasihara nitag mkuu
Kiukweli ukiwa unasoma soma vitabu kuna u sharp flani unakua nao akilini ambao saizi nikiji analyze najiona kabisa uwezo umepungua
Roho inaniuma, plus maarifa unayo yapata ni mazuri sana
Nikisoma vitu watu wanaandika humu nasema daah hawa jamaa ni kusoma tu ndio wamejua aya
Daah vitabu pekee niliwahi kusoma ni james Hadley hand me the fig leaf job na cha gamba kikosi cha kisasi baasi nina soft copy nying ila daah sisomi aiseee.
Kimsingi sijakuzwa kusoma vitabu yanahitajika maamuzi ya makusudi.
Mmedokeza kuhusu jamaa kwenda vitani, mwenye kujua zaidi atujuze safari yake ya kijeshi ipoje? Ana cheo gani?
Kwa wenzetu kuwa mjeda sio ishu eeeh? Maana ni ngumu kumwamini kuishi kwenye nchi nyingine
Am sure atakua anafatiliwa na CIA maana wanaweza hisi ni spy tu
Mk54 nina marafiki wawili wanaendesha boda, najua kama wanavuta bangi, nikaamua tu kuwauliza kwanini mnavuta bangi mmoja akasema kuondoa stress mwingine akasema inamfanya ajisikie vizuri, kimsimgi rafiki zangu wameanza vuta bangi muda sana tangu tupo secondary na sio wahuni kabisa yaani hawakabi...
Asante sana mtoa mada daah 2016 nilikua siwaz haya kabisa kumbe kuna watu wanapeana madini tu uku, hongereni sana wachangiaji nimejitahidi sana kusoma comments
Kwa ufupi najiandaa kufanya ufugaji wa kuku, na mm nilikua nawaza kuku wa kienyeji na hao chotara, mpaka napata uzi huu ilikua katika...
Habari ya siku ya leo ndugu zangu, naomba msaada wenu najua hapa kuna watu wa magari wengi.
Natafuta gari kwaajili ya kufanya rideshare (bolt na uber) nina leseni daraja C na ndio ambayo saizi inatakiwa uwe nayo kwaajili ya kufanya iyo biashara pia nina cheti cha tabia njema/uraia mwema.
Mshana...