Sisi tuliomaliza masomo yetu katika Chuo Kikuu cha St. John's pale Dodoma hadi leo hatujawahi kupewa ufumbuzi wowote kuhusu marejesho yetu. Hata tangazo rasmi halijawahi kutolewa, licha ya wadau kwenye jamii forums kuibua suala hili. Tumevunjika moyo kabisa.
Habari,
Kwa kiasi kikubwa, sisi wanafunzi tuliomaliza masomo ya Shahada ya Kwanza katika Chuo Kikuu cha St. John's University of Tanzania, Dodoma, hatujapokea marejesho ya fedha zetu.
Uongozi wa chuo ulituahidi kwamba malipo yetu yangeshughulikiwa ndani ya mwezi wa kumi, yaani Oktoba, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.