Recent content by brave one

  1. brave one

    Binafsi naona Yanga Ina mashabiki wengi wanawake kuliko Simba

    H Hii picha ni kali? Basi hili neo limepoteza maana Check chuma hichi
  2. brave one

    Binafsi naona Yanga Ina mashabiki wengi wanawake kuliko Simba

    Hii Umesoma kishabiki zaidi kuliko nilichosema
  3. brave one

    Binafsi naona Yanga Ina mashabiki wengi wanawake kuliko Simba

    Kwa utafitu mdogo niliofanya kupitia Simba Day na Yanga Day nimegundua timu ya Yanga Ina mashabiki wengi wengi wanawake Tena warembo hasa ukilinganisha na Simba. Hata waliongalia kwenye TV watakuwa mashuhuda siku ya Yanga day mahudhuliaji wanawake walijitokeza kwa wingi sana ukilinganisha na...
  4. brave one

    Mo dewji: Nimepoteza billion 41 ndani ya Simba

    Yaani Simba imeuzwa kimya kimya kama Bangi
  5. brave one

    Rekodi: Yanga vinara wa magoli CAFCL huku Simba ni vinara wa yellow cards

    Simba Kuna straika anaitwa Fred yule jamaa jina la kisasa anaitwa defending striker yaani starika mkabaji anachezea sana rafu hamalizi mechi bila kadi
  6. brave one

    Tetesi: Van Dabroek kutua Simba SC

    Kanuni ni Ile Ile X- harudiwi shauri zao
  7. brave one

    Simba ijitoe CAF Club Champions 2023/2024

    Mpaka fainali ni mechi 6 mkuu maana ni home anda away
  8. brave one

    Simba ijitoe CAF Club Champions 2023/2024

    Mtoa mada acha upotoshaji Africa super league itakuwa ya mtindo wa mtoano yaani robo, nusu na fainali kwaiyo ni mechi 6 tu kama timu itafanikiwa kufika fainali
  9. brave one

    Takwimu: Baleke vs Musonda

    Musonda ana assist 3 Vs mazembe Vs real Bamako Vs US monastr
  10. brave one

    Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

    Dejan aliondika kwasababu Simba hawakutimiza matakwa ya Kim katana kama kumpa nyumba binafsi na gari lakini Faisal hakuna asichotimiziwa kwenye mkataba anataka kuvunjwa kwasababu za nje ya kimkataba
  11. brave one

    Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

    Msuva alikuwa na kesi ya madai ya msharaha na signing fee ambayo wydad hawakumalizia kulipa ndo maana akagoma kurudi kuchezea ndo maana kesi yake ilikuwa rahisi na straight forward lakini Fei hakuna anachodai Yanga anataka tu kuvunja mkataba kwa kujisikia tu
  12. brave one

    Takwimu: Baleke vs Musonda

    Tuanze na ya NMB
Back
Top Bottom