Bus hata nauli unatakiwa lipa wakati wakushuka, ma worry is. Wakati unapanda kuwe na utaratibu wa kupima mzigo. Kwenye ticket yako inasema kabisa nauli umelipa kiasi hizi uko na mzigo wa uzito huu na gharama yake ni hii.
Me ninda risiti ya mzigo. Alipo dai pesa.
Shida sio kulipia au kuto lipa...
Habari,
Jana nimepata bad exeprience na basi la MTEI (T305 DTS) kutoka tanga to Arusha, ni mara ya kwanza kwenye historia ya maisha yangu yakusafiri na mabasi.
Wakati wakushuka konda anaomba hela ya kulipisha mzigo. Sijui jinsi ya kuweza kutatua hili tatizo, nimejaribu kuwapigia simu yao...
Guys,
Nimepata Choja ya covid19 week ya kwanza tu ya utojia,
Hadi leo sijapata message ya kupata cheti,
Naona wanaona choma hivi karibu wanapata message zina link ya cheti,
Njia gani naweza pata cheti, nimeangalia kwenye website ya wizara ya afya bila mafanikio.
Help me out.
Thanks
habari!
leo nimesikia kwenye matangazo ya barabarani kutakuwa na mafunzo ya bure ya udereva na mwisho unapata cheti bure.
kama kuna yeyote amesikia naomba anisaidie kujua mahali ambapo mafunzo yatafanyika, sikuweza kusikia mahali wanapo fanya mafunzo.
i need more information about it.
thank you
Hatari sana..wanajaribu kupunguza matumiz...kwa kupunguza majipu...sema wanatakiwa kuweka wazi vigezo ambayo watatumia kuwa toa chuoo..kama ni hiv vipya au vipi [emoji102][emoji102]
Hello!
Ningumu sana kuelewa na kuamini kwangu hivi vitu, ni kama mara ya tano au sita najiribu post tatizo na bodi ya mikopo mwaka huu hapa jamvini. Nimefanya mambo yote kama walivyo agiza lakin mwisho wa siku inaishia kufail at end.
Nimeomba mkopo, nimeenda face to face kwenye office zao, nime...
Hello!
Bodi yetu ya elimu ya juu inatakiwa kuwa ya mfano kwenye elimu yetu lakin naona ni tafauti kidogo, system imekuwa wazi tangu jana lakin bado kuna error cjui kwanini sasa mnaweka wazi kitu ambacho akifanyi kazi.. unajanza information zako zote still system inakwambia incomplete...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.