Apo sidhan kama itakuwa sawa, maana kuna watu primary wanakuwaga vipanga wa mahesebu wakifika secondary wanachemka vibaya sana, na ushahid wa washikaji zangu wengi tu
Shukurani sana Kaka, nimejitahid sana kadri ya uwezo wangu kujiandaaa, bahati mbaya naona sjabahatika kupata. Nmekutana na
Dear Fulbright Program Applicant,
This year the Fulbright Foreign Student Program received and reviewed a high number of quality applications. After a careful review of...
Dah aisee, apa umeamua kufikiria kwa kina au umeongea tu, kwa hiyo furaha yako ni kutajiwa idadi ya Wagonjwa? au kupewa taarifa za walipoteza maisha?.
Kaka huu ugonjwa n Pandemic kila Nchi inachukua hatua zake kulingana na hali ya ugonjwa ulivo Nchi husika, au unataka kitangaziwa tu kama...
Kuna baadhi watu wanajiita wa Tz lakn maneno na matendo yao yanaonesha siyo wenzetu kabisa, katika kila Nchi kuna changamoto zake za maisha , democracry, tofauti za kisiasa, lakini linapokuja suala la Taifa lako lazma uliongelee vzr , hata hyo Nchi unayoisifia kuwa hawana unafika wa matatzo...
Wadau nimebahatika kuitwa Interview ya hawa jamaa, naomba mwenye uzoefu tafadhali nataka nikaongeze jiwe la Pili kwa Trump.
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.