Halafu sasa hivi kuna maduka mengi tu k,koo yanauza simu used kali tu kutoka nje zinauzwa kuanzia 200k na kuendelea mfano samsung s6,7,8 na9 iphone 6,8,9 sony xz1, 2, 3 unapewa risiti na guarantee. Unachofanya unawatafuta online kupitia kupatana zoom au jiji buy online ukiwasiliana nao unaenda...