Mimi kwa mtazamo wangu naona kabisa watanzania tunashauku kubwa na yakila namna katika nyanja ya kisiasa.., muda c mrefu tuta anza kuona na kushuhudia watu walewale walokuwepo kwenye mkutano wa UKAWA
nihaohao watakao hudhuria kwenye mkutano wa CCM na vyama vingine kinacho fanyika ni...
Nimeamua kuandika hili jambo muone ni jinsi gani wanavyuo tunavyo nyanyaswa na kulazimishwa kulipa malipo ambayo hayako uniform kwa maana kwamba badhi ya vyuo kama SUA, MKWAWA, UDSM na vingne vingi kutotambua hiyo pesa na hawalipi lakini chuo kama universty of Iringa (Tumaini) wakitakiwa kulipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.