Habari, imekuwa tatizo, kero, usumbufu kwa wakulima wa mahindi nchini linapokuja suala la kuuza mahindi kwa wakala wa chakula NRFA kulipa fedha kwa wakati.
Waziri wa kilimo katika ziara ya Mh. Rais Samia kule Sumbawanga aliahidi kuwa kupitia wakala wa chakula NRFA watanunua mahindi kwa bei ya...
Kuna usumbufu umejitokeza wakutolipa walio peleka mahindi kituo cha kakozi, tunaomba serikali ifuatilie malipo kama ilivyoahidi kuwa ndani ya wiki mbili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.