Recent content by BOYO

  1. B

    JamiiForums Tanzania TUCTA yamvaa Makonda kwa udhalilishaji wa Wafanyakazi

    Kwa jinsi nilivyoona ile move, mimi nigewaweka masaa kumi na mbili, nchi hii tumefika hapa tulipo kwa sababu ya kufanyakazi kwa mazoea, kulindana, tukijifanya tunajua sheria na kujitetea sana ili kupoteza muda mwingi katika hali hiyo, wakati mwingine tukitunga sababu za uongo uongo. Haiwezekani...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Polisi yawagomea Lowassa, Sumaye, Mbowe Mwanza

    Ipo siku hayo maneno yatakuwa juu yako!!!!!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni Rais halali, msiwadhulumu wananchi haki yao ya kuwakilishwa

    Kwa mtazamo wangu, Mheshimiwa Rais angetafuta meza ya malidhiano kwa sababu yeye ndio rais anayetambuliwa na katiba kwa miaka mitano. Tofauti na hapo tutegemee mambo magumu sana katika nyanja za kijamii na kiuchumi. Hata ndani ya CCM tunamsikia akilalama kuna wasaliti. Alejee kwa mtangulizi wake...
  4. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    Machozi yenye uchungu yananitoka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ninaamini kote anapoenda Magufuli ana taarifa zake nzito!

    mara nyingi ni wa kukurupuka, nimeona komenti humu inasema vifaa vile vikiharibika ni kampuni moja tu inayoruhusiwa kutengeneza na imeingia mkataba na wizara, na jamaa alitoa taarifa wizarani wakawa wanazingua. Sasa kumuondoa jamaa kwa sababu hii hatuoni kuwa ni uonevu? kwa nini asifukuze watu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania ICJ haideal na kesi ya kuibiwa kura

  7. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Kiukweli mimi naamini jamaa ni raisi japokuwa hawajamtangaza.sasa imani yangu naanza kuiona vema kupitia huu uzi.
  8. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Nahisi uchungu sana!!!!!!!!!!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Ni sawa! Lakini tunamtaka generally wetu walau hata tumuone akiendelea na shughuli zake huko aliko!!!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Tuliambiwa na msemaji wa jeshi kuwa Generally yupo nje ya nchi kwa siku kadhaa, ambapo tulitegemea kumuona octoba mosi 2015, sasa ni octoba 14/2015. familia imeibuka na single nyingine!!!!!! Time will tell the truth. Napendekeza angeibuka yeye mwenyewe na kuzungumuzia habari hii ili...
  11. B

    JamiiForums Tanzania NEC: Idadi ya Wapiga Kura bara ni 22,751,292 na Zanzibar ni 503,193

    Nec na ukawa wameiona hii comment!!!!!!!!!!!!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Kazi inaanza!
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

    Kila kitu kitadumu kwa wakati wake!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Zitto: ACT-Wazalendo tutashiriki kuiondoa CCM Madarakani, ila hatutojiunga na UKAWA

    Aende zake huko, mwanzake kalamba jokeli angonga juisi jirani! sina hakika kama na yeye watamkumbuka! Ngoja tumwache ajiishie taratiiiiiiibu. Kwani hawezi danganya watu wote, kila wakati!
Back
Top Bottom