Huna jipya tulikupa tahadhali toka ulivo palamia uzi huu kuwa mkoa wa njombe huu wezi Leo hi tayar huna hata Cha kupost NI kutuletea mapaa ya vijiji vyako
Tulisha kwambia Hilo NI eneo la soko kuu ambalo soon linavunjwa na kujengwa soko la gorofa kupitia mradi wa tactics na tulisha rusha Hadi video za eneo Hilo acha kuhangaika leta project za mitaan za geita uliahidi leo na eneo hili la stendi linavunjwa lote ko huna hoja mzee na hii ndo stendi...
Tulisha kwambia makambako CBD watu wanavunja nyumba za kawaida vitu vinashushwa ko mwambie Eddy tz apige picha kuanzia round about Hadi stendi ya njombe uone vitu vinavyo pangana ndo maana nilikwambia hizo picha unajifurahisha tu
Yan unarusha eneo moja mara kumi asee 😂😂😂😂 unachekesha tembea uone utahahangaika Sana na picha za Eddy tz ukajua ndo alichukua makambako nzima haaaaa poleeee sana
Ushahidi gani ya unachuku block moja et ndo CBD Kama hujui mipango miji kaa kwa kutulia tuendelee kukupa dose maana mambo mengi hujui ndo maana huwa unatuletea mapaa ya Kijiji chako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.