Recent content by Boygang

  1. Boygang

    Wanaosema Rais Magufuli hajui Kiingereza leo amewasuta

    Kabisaaa maana saiv hta mtoto wa English medium anamaliza shle na kingereza anakijua lakin matokeo yanakuja amefeli
  2. Boygang

    Wanaosema Rais Magufuli hajui Kiingereza leo amewasuta

    Kabisaaa maana saiv hta mtoto wa English medium anamaliza shle na kingereza anakijua lakin matokeo yanakuja amefeli......
  3. Boygang

    Aptitude Test

    Guys kwa mwenye idea na aptitude test ya maumbo anielekezee maana nataka kwenda kujiunga na veta na nimeambiwa kutakuwa na mtihan wa maumbo
  4. Boygang

    Wasomi tulionyimwa ajira tukutane hapa tujadili nini la kufanya

    Jamn njia ya kutoboa saiv kwenye nchi yetu ya tanzania n ubunifu wako yaan kaa fikiria nchi hii kwa sasa iv inaelekea wap na inahitaj kitu gan kufika hapo mm nadhan ndo njia pekee ya kutoboa kuliko kutegemea ajira kutoka serikalin mfano sasa iv kuna mradi wa sgr na mrad wa bwawa LA umeme LA...
Back
Top Bottom