Heri ya mwaka mpya wana JF, kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza pharmacy au NURSE anicheki, nina cheti cha ADO na nimesoma Medical Attendant, nina uzoefu mkubwa wa hizo kazi zote zilizomention hapo juu, mawasiliano yangu 0672498183, KITUO CHA KAZI KIWE DAR ES SALAAM, asanteni
Sahihi na hata hiyo mashine kwa amabo wanapiga hela hapa dar wanauza kwa reja reja bila vifungashio yani mtu anakuja na chupa yake kuchukua maji, kuna mshkaji yupo anapiga zaidi ya 150 per day na ni mradi mpya
Habarini wakuu,nimeomba nafasi ya kujitolea kwenye halmashauri,nashukuru Mungu nimepata nafasi ila nawaza kwa huu mfumo wa kila ajira kupitia utumishi,vipi kujitolea kunaweza kuwa na tija nje ya kupata uzoefu?maana kwa zamani ukijitolea halmashauri kuna viajira km utendaji unaweza kupata vipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.