Recent content by bothlegs

  1. bothlegs

    JamiiForums Tanzania Waafrika tunawazidi Waarabu kwa mbali sana ila ajabu sisi ndio tunawahusudu wao zaidi!

    Ni kweli tunawazidi kwa mbali sana kwa rasilimali.Rasilimali kubwa ya waarabu ni mafuta,na wamegipa hatua kubwa kiuchumi,sasa sisi waafrika pamoja na madini ,bahari,mito na maziwa,mbuga za wanyama,ardhi nzuri kwa kilimo ,vivutio vizuri vya watalii bado ni maskini wa kutupwa .Huu umasiki...
  2. bothlegs

    JamiiForums Tanzania Nyerere alikuwa mkoloni mwenye ngozi nyeusi

    Ndio maana alianzisha jela za wazi,akaziita vijiji vya ujamaa na kujitegemea
  3. bothlegs

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wa Tanzania ni Waislamu na Wakatoliki tu?

    Si kweli kwamba WARAQA BIN NAWFAI NDIYE ALIYEMPA MOHAMED UTUME. Allah (S.W) ndioie aliyempa utume MTUME MUHAMMAD Kuran: 48:8 Hakika tumekutuma wewe uwe Shahidi, na Mbashiri, na Mwonyaji, kuran 25:56 Nasi hatukukutuma ila kuwa ni Mbashiri na Mwonyaji
  4. bothlegs

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Rais Samia Kanisani KKKT Kuhusu Bandari "Hakuna Jambo Lisilo na Changamoto"

    Hawa wanasema tu,lakini ukifika wakati wa uchaguzi wataichagua CCM tena.Kirefu cha CCM ni CATHOLIC CHURCH MOVEMENT.
  5. bothlegs

    JamiiForums Tanzania Bandari na unafiki wa Watanganyika

    Waamabie ukweli,baada ya kukaa bara na kutumia fursa zinazopatikana katika rasilimali ziliopo huko Tanganyika wakachimba madini,kuvua samaki au kulima kilimo cha kisasa wanakuja Zanzibar kuuza karanga,kumwagilia bustani za mahotel,kudanga,wnaranda zanzibar nzima kwa miguu wakikuuza...
  6. bothlegs

    JamiiForums Tanzania Mikutano inayozungumzia mikataba haitokuwa na maana bila kutaja MOU ya Serikali na kanisa

    Kwani hiyo ardhi ya Tanganyika imeumbwa na nini?Kwani kwenye huo mkataba wa Bandari kuna sehemu inasema Dangayika itakuwa nchi ya kiislamu? Au malkia Elizabeth ndio alileta udongo kuka Uingereza na kuifukia bahari na kuifanya Tanganyika? Hiyo ni Tanganyika au Danganyika?Mikataba mingapi...
  7. bothlegs

    JamiiForums Tanzania Mnajisikiaje kuona msiyempenda ndiye anashangiliwa na wapiga kura?

    Kazi ya Mungu haina makosa na wala hairekebishwi na binaadamu yeyote
  8. bothlegs

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Ukosefu wa maji ni kudra za Mungu wala sio ilani ya CCM. Ilani haiwezi kuleta mvua

    Hizi ndio kauli ,zinazotutia umasikini Tanzania
  9. bothlegs

    JamiiForums Tanzania Masharti ya kuwekeza Zanzibar kwa Mtanzania bara na mgeni

    Na mkizubaa atawatia vidole mpaka katika jicho la kati jicho
  10. bothlegs

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

    Kama yeye ni Mzanzibari,kuna wengine ni wazazi baa na wadanga nyika
  11. bothlegs

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

    Kama yeye ni Mzanzibari,kuna wengine ni wazazi baa
  12. bothlegs

    JamiiForums Tanzania Ndege mbili za Airbus kupokelewa siku ya Ijumaa, Uwanja wa Abeid Aman Karume Zanzibar

    ATCL stands for Any time Cancel Licence
  13. bothlegs

    JamiiForums Tanzania Mbeya: CHADEMA wapinga agenda ya Katiba Mpya

    Hii ni sawa na kusema nyama ya nguruwe sili ila mchuzi wake nakunywa
Back
Top Bottom