Recent content by Boston12

  1. B

    Namna bora zaidi kuwaenzi waliouawa kikatili wakipigania nchi nzuri ni silaha ya uchumi, kususia biashara za kiCCM

    Jambo jepesi ni kususia kulipa Kodi na vitozo uchwara vya halmashauri
  2. B

    Samia isn’t helping herself: Haya ma-Lamborghini na ma-Limousine ya kazi gani?

    Kwamba kipochi manyoya chake kijiandae kwa cancer🤣🤣
  3. B

    Uapisho wa Samia: Kwanini viongozi wa kidini wa kikristo sio waoga wala wanafiki kama wa kiislamu?

    Yule mchungaji chotara ni hatari, aligonga utosini nikaona Nape Nnauye ameachamisha Domo TU alidhani mchungaji huyo nae angekuwa chawa kama sheikh Zuberi
  4. B

    Suluhisho ni moja TU, Polisi lazima walipe Gharama ya vifo vilivyosababisha kwa watanganyika wenzetu

    Mshukuru sana Mungu maana wale jamaa walitumwa kuua na kuteketeza
  5. B

    Suluhisho ni moja TU, Polisi lazima walipe Gharama ya vifo vilivyosababisha kwa watanganyika wenzetu

    Hiyo serikali Ina maana gani kama watu wake wanachapwa risasi mchana kweupe halafu imekaa kimya kuanzia akina mdude, Sola, ally kibao na mauaji makubwa ya Tarehe 29 Oct
  6. B

    Suluhisho ni moja TU, Polisi lazima walipe Gharama ya vifo vilivyosababisha kwa watanganyika wenzetu

    Tumefiwa wapendwa wetu kwa risasi Hadi tumepanick juu ya kuenenda kwenye taifa hili. Huruma ya Mungu iwe juu yetu, kama taifa tuwe na namna Bora ya kusuluhisha jambo hili. Ili wasio na hatia wasifikwe na madhara kama hayo yanayoweza kutekelezwa na wananchi wenye hasira Kali. Mungu tuhurumie...
  7. B

    GE2025 Viongozi wa 5 pekee Duniani waliowahi kushinda Kiti cha Urais kwa 98% tangu mwaka 1990-2025

    Hakuna ushindi wa namna hiyo, Samuya kwanza form 4 failure alikuwa hawezi hata kupata marks 50% kwenye masomo yake. Aje apate 98% ya kura, hiyo ni faraja ya mjinga kujiona na yeye ni genius.
  8. B

    GE2025 ICC toeni arrest warrant ya huyu mtu

    Endelea kuwatumia ushaidi huo wa hizo picha za mauaji,.Kuna kipindi nami niliwatumia shauri wakadai wanaitaji ushaidi unawasilishwa na majority.
  9. B

    Je taarifa ya kufungiwa JF kwa siku 90 ina mapungufu?

    Naona mwana CCM umeongea kizalendo zaidi. Kupitia jf hata CCM wanapata platform ya kuandika HOJA zao kwa ajili ya watanzania wote. Itakuwa uhuni kufungia jukwaa hili kwa maelekezo ya upande mmoja
  10. B

    Maswali konki kwa Rostam Aziz baada ya interview yake hapo UTV

    Yaani huyo jamaa ukimgusa TU ni simu moja ona Tundu Lissu yupo mahabusu, jamii forum wameacha habari zake simu moja imepigwa ili mtandao huu ufungiwe
  11. B

    Majangili na Maharamia na hofu dhidi mitandao ya kijamii

    Nchi imeshikwa na wahuni Kila jambo lenye maslahi ya wananchi wao wanaona ni kama tusi kwao
  12. B

    Maswali konki kwa Rostam Aziz baada ya interview yake hapo UTV

    Mimi naona kama Mzee alienda UTV kujisafisha lakini Tido Mhando angeuliza maswali technical kama haya, sidhani kama Mzee Aziz angeendelea na interview hiyo; 1. Mheshimiwa Rostam Aziz, umedai kuwa wawekezaji wa ndani hawapewi nafasi kwenye sekta ya madini kwa sababu hawana "creditworthiness"...
  13. B

    Sitasahau huyu mzee alivyopinda mdomo kwa kufuga jini

    Islam wanafeli sana kutotambua nguvu ya Yesu kristo mapema ili wakombolewe dhidi ya mapepo machafu na majini. Hongera kwako hamis77 kwa kumtambua Yesu kristo na kujichomoa huko kwa majini
Back
Top Bottom