Recent content by Bossmantz

  1. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Malezi: Watoto kuharibu vitu

    Watoto wa siku hizi hawafunzwi value ya vitu. Hawajui thamani ya chochote. Enzi zetu mtoto ana miaka mitatu ameshajua kitu flani cha mama na kitu flani cha baba sio cha kushikashika, au kitu flani ni cha thamani kubwa kwa wazazi. Kuna jirani hapa ,eti mtoto alikasirika akatupia kikombe kwenye...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

    Chuo kuna jamaa mmoja alikua anahang na wadada tu, kwa pozi zake na kukatika kwenye mziki tukajua tu uyu sio mwanaume. Sasa mchizi wangu alikua anakula demu rafiki yake. Yule manzi akija kwa mchizi wangu akaanza kunipa stori jinsi jamaa anavyonitaka 🤔. Sema hio michezo sinaga nikapotezea mazima .
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dah! Vijana wenye vigari mjini wanatamba sana

    Kweli , Kua na uwezo wa kukopa gari na kulala na funguo, kidogo ni achievement. Mafanikio yapo ya aina nyingi kwa level tofauti.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Single mothers nawaibia siri nyingine

    Wanaume tulishasema hatuna KABISA tatizo na single mothers. Shida ni kwamba kuna mda wanawapaga au kuendekeza hao wazazi wenza.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nadhani mke wangu mshipa wa aibu ulishakatika

    Nini cha ajabu, una miaka 15?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

    Ha ha zipo sana ,sema matatizo yanakujaga majukumu yakikolea kama watoto etc.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

    Ndoa tamu sana sema these days watu wanaipaka sana matope. Inasababisha kisaikolojia watu wanakua na picha mbovu. Cha muhimu kwanza marry your type muwe washkaji, me nainjoi sana sometimes natamani madem pembeni ila sina ata mzuka nao ,nawaona kama madada na ndugu tu. Main reason nyumbani...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume futeni hii aibu ya kukataa Watoto, this is too much

    Wapo Wengi sana wanakimbia majukumu.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumvuta Mwanamke bila hata kutumia shilingi

    Hizi mambo hakuna formula. Utapakwa futa na vilainishi kijana.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Dah! Vijana wenye vigari mjini wanatamba sana

    Acha makasiriko kijana. Kazana. Afu gari ya mkopo bado ni gari, ni kama gari zingine ukiwa ndani hunyeshewi.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hivi unawezaje kujenga urafiki na Ex wako aliyekuacha kwa maumivu makali?

    Kawaida sana kwa manguli. Jamaa yangu aliachwa na demu wake ,aliumia sana hadi stress. Hakuweka uadui. Mpaka manzi akaolewa na jamaa alie mchkua. Mchizi wangu kwa ugumu na harusi akachangia. Baadae kidogo aliendelea kupewa tunda kimasihara hadi leo. Wamekua marafiki kama kawa. Namuonea huruma...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nimeoa nina miezi miwili lakini naona kero kwa mambo haya

    Kwani unamiaka mingapi?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo humfanya mwanamke amuache mwanaume katika mahusiano

    Swahiba wangu kitambo tunatafuta kazi baada ya chuo, aliachwa na wakumoyo wake. Hakugombana nae na waliendelea kuongea. Akirudi uku alikua ana mauchungu analialia . Dada kaolewa na jamaa ana kazi na kasogea kidoogo kimaendeleo. Ila sasa yule bibie anamkumbuka jamaa, mchizi akitaka mambo bibie...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo humfanya mwanamke amuache mwanaume katika mahusiano

    Nina iiishi hii. Akikuacha usimchukie ,piga kazi ongeza michongo meanwhile pata mwingine mpende. Tembea mwanaume.
Back
Top Bottom