Recent content by Boshi2012

  1. Boshi2012

    Nyongeza ya mishahara sekta binafsi hakuna kitu

    mbona swali la msingi halijibiwi? Wa serikali wameongenzwa ngapi" Au ndo sintofahamu.
  2. Boshi2012

    Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    hakika mwigulu ni punguani wa kuhurumiwa! Kama kweli kitendo hiki amekifanya, anaonyesha ni jinsi gani alivyo mtupu! Hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi kwani ni utaahira kamili labda tu hajapata cheti Milembe!
  3. Boshi2012

    Mzee Pinda linda heshima yako - Jiuzulu tu

    Tatizo ni Vasco da Gama! Msitafute mchawi.
  4. Boshi2012

    Mwezi mzima bila tendo, ndani ya ndoa!!?

    ama kweli babu dc unazeeka vibaya! Hiyo nadharia kuwa mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mke mmoja unaitoa wapi? Kama siyo kuendekeza vijumba vidogo2 na kuongeza tatizo! Adam alipewa mke mmoja Eva, mengine ni usanii tu.
Back
Top Bottom