I beg to differ. Kunao wake za watu ambao huchepuka na kupata ujauzito nje ya ndoa zao. Wanawake hawa huishia makaburini na siri hizi. Wanawake ni wasiri kupindukia.
Nami nakumbuka tukio sawia na hili miaka kadhaa nyuma. Tulielewana na mrembo tukaenda naye out katika hoteli moja ya kifahari. Tuliweza Kula na kunywa. Ilipofika kitu saa tisa alasiri tukakata chumba kizuri kwl. Tulianza romance lkn mrembo akawa na tetezi zake eti ameolewa na hataki kumsaliti...
Hili ni jambo la kawaida. Wahenga hawakukosea waliponena kwamba masikini akipata matako hulia mbwata. Macho ya binti hawa hufunguka mara tu wanapofika mjini.
Ili kukidhi mahitaji ya kimapenzi ya hawa kina dada wengi ambao wako single. Men are few and must be shared. When the commodities are scarce, the demand skyrockets.Period.
Hali hii iliwahi nikumba miaka kadhaa iliyopita. Mdada nimemng'ang'ania kweli kwa muda mrefu. Akakubali tukatoka out for a date mahali fulan tulivu. Tukafanya order ya vyakula na vinywaji kisha tukajikuta chumbani. Hakika mzee kagoma usiku kucha. Tulijaribu mbinu zote zile kumwamsha mjulubeng...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.