Recent content by boroo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Faida 10 za argi +

    Mwaka huu,mwisho wa uzee!ila kwa hiyo bei mph!sijui
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Komando Jide mbona yupo hivi lakini?

    Wanao mponda Jide hawafikirii Kwa kutumia kichwa,wanajua wenyewe wanafikiria Kwa kutumia nn
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Komando Jide mbona yupo hivi lakini?

    Wrote wanao mponda komando,wana wivu tu kwanza kiwango chake ni cha kimataifa hababaishwi name vituzo vya kuuzia magazeti.BIG UP JIDE WW SONGA MBELE HIZO NI KELELE ZA CHURA TU,MAJI YAKIISHA WATANYAMAZA
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kanuni za kumpata mwenza sahihi

    Flood!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji line ya M Pesa?

    Taarifa:kuuza line ya M-pesa ni makosa,hi yo kama umeshindwa biashara irudishe vodacom
  6. B

    JamiiForums Tanzania Lain ya m pesa

    100000 inalipa nichukuwe
  7. B

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji line ya tigo tigopesa na navodavodacom vodacomM-pesa

    Vp 500000 utachukua?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa, Dar es Salaam

    Mimi nataka kununua hapo unapoishi ww,
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja

    Salsa hicho kiwanja unakiuza bure,mbona bei hujaweka au ndo unataka tukupangie being sisi
  10. B

    JamiiForums Tanzania Samsung led HDTV 4series 32"

    Best mimi naihitaji ila ninayo 300000
  11. B

    JamiiForums Tanzania smart phone for sale

    Chukua laki mbili
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mnada wa serikali unaofanywa na TRA wakishirikiana na kampuni ya majembe umejaa utapeli

    Pole sana ndugu,hiyo ndio bongo ila nakushauri ukifuata sheria kuna uwezekano wa kupoteza haki yako,kwakuwa mlipeana kienyeji mdai kimsimamo name ikibidi mfanyie kitu ambacho hatakisahau name atakuwa mwoga wa kutapeli
  13. B

    JamiiForums Tanzania Jiajiri kupitia M-pesa

    Km nashangaa jinsi mnavyo tuhamasisha,tukileta hizo document mnatuambia eti zikitoka mtatupigia cm,halafu tunaishia kuona Lain za m pesa zikiuzwa huku mitaani tena za majina ya watu,tunaomba msitumie leseni na tin namba za watu kujinufaisha mm toka nipeleke hi yo vitambulisho Nina miezi 5...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Line ya uwakala wa M-pesa

    Mbona hizo line mnaziuza bei ghali,kwani mnazinunua bei gani
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nauza bodaboda boxer

    Weka picha tuone maana boxer ziko aina nyingi nijuavyo mm
Back
Top Bottom