Recent content by borncool

  1. borncool

    Mzani wa Mawe unauzwa

    Kwenye uhitaji wa mzani wa kupimia wa mawe anicheki PM bei ya kuanzia ni 110k ni umetumika miezi michache tu so bado mpya kabisa ,napatikana Morogoro mjini
  2. borncool

    Jipatie mchele safi kutoka Didia

    Fursa kwa kampuni /mnunuzi wa mchele kwa jumla kuanzia tani 2 na kuendelea jipatie mchele Safi kutoka hapa Didia kwa Bei nafuu kabisa kipindi hiki cha mavuno na nitakuwa nawe bega kwa bega kwa kipindi chote utakachokuwa na shida ya mchele ,mchele unapatikana wa Kila aina kwa Bei Kati 950 mpaka...
  3. borncool

    Nahitaji dagaa wa kununua

    Bei ikoje mkuu kwa ndoo au kilo
  4. borncool

    Uzi huu maalumu kwaajili ya kujifunza Ujasiriamali

    Sabuni za vipande mkuu malizia km bado active
  5. borncool

    Tusaidiane kuhusu kilimo cha bustani ya mipapai

    Kilikukuta Nini mkuu mbona wasema hivyo
  6. borncool

    Natafuta eneo la biashara ya chips Morogoro

    Wakuu habari anayefahamu eneo zuri au Kama unalo eneo naweza kuweka banda la chips niPM tuyajenge. Ni kwa maeneo ya Morogoro mjini kama unaweza kuwa na mgahawa mi nikaongezea chips au una duka mi nikaweka hapo karibu vinywaji vitembee nicheki
  7. borncool

    Soko la ndimu na ndizi mzuzu

    Morogoro hiyo
  8. borncool

    Soko la ndimu na ndizi mzuzu

    Morogoro
  9. borncool

    Soko la ndimu na ndizi mzuzu

    Ninauliza soko la ndimu na ndizi mzuzu. Kuna mzigo upo mbioni kukomaa; kama wewe unajishughulisha na upo interested tuongee biashara vikiwa tayari nikustue ila nijue bei yako kwa plastic ya ndimu na mkungu mmoja wa mzuzu.
  10. borncool

    Kuna haja ya kuwa na kibali cha TFDA ukitaka kufungua Kibanda cha kukaangia chips?

    Wakuu habari, hivi kibanda cha chips ukitaka kukifungua kama unayo leseni ya biashara kuna haja ya kupata kibali TFDA au hiyo leseni na TIN niliyonayo inatosha? Naomba kuwasilisha na ningeomba ufafanuzi kwa wazoefu.
  11. borncool

    Una mtaji ila hauna pesa ya kodi ya fremu? Zijue biashara zisizohitaji fremu

    Ni good ideas ila hiyo ya mitungi ya gesi kwa kuanzia inahtaji mtaji kiasi gani
Back
Top Bottom