Recent content by Booker T

  1. B

    JamiiForums Tanzania USA yaja na madai mapya dhidi ya Iran

    Waarabu ni wanafiki sana. Saudia anawanyonga washia kila leo na USA anaona na wala afanyi chochote.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kuna mawazo ya aina juu ya Amunike.

    Kisa kacheza barcelona
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kuna mawazo ya aina juu ya Amunike.

    Siyo lazima samata acheze dk zote hata kama hana tija.ahadi yusuphv.akina mandawa wapo pale.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kuna mawazo ya aina juu ya Amunike.

    Anawaacha akina mkude.ajibu nk
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kuna mawazo ya aina juu ya Amunike.

    Anatuona maboya Embu ona Rais wa ghana aliingia kadi gian kujiondoa kikosini baada ya kunyang'anyw unaodha aliongea na gian na kocha pia
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuna mawazo ya aina juu ya Amunike.

    Nimekusoma mkuu.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kuna mawazo ya aina juu ya Amunike.

    Kuna wanaomuona Amunike kama mkombozi wetu kwa sababu anetupeleka Afcon baada ya Miaka 40.Hivyo aachwe tu afanye akipendacho. Wazo la pili Amunike ni kocha Asiye sikiza mawazo ya watu. Mimi binafsi naungana na wazo la pili kwa ni kocha mwenye chuki na mbinafsi sana.Ukweli hatuwezi kusema...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Itakuwa Simba ya ajabu!!!!

    Sawa kiongz
  9. B

    JamiiForums Tanzania Itakuwa Simba ya ajabu!!!!

    Dont mention boy
  10. B

    JamiiForums Tanzania Itakuwa Simba ya ajabu!!!!

    Inshaallah
  11. B

    JamiiForums Tanzania Itakuwa Simba ya ajabu!!!!

    Sw mm mwekundu pia
  12. B

    JamiiForums Tanzania Itakuwa Simba ya ajabu!!!!

    Sawa kiongozi mm ni mwekundu mwenzako lkn embu tusubir saa 7 leo.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Itakuwa Simba ya ajabu!!!!

    Robo ya wachezaji mikataba ilishaisha mbina hawajapewa mikataba mipya
  14. B

    JamiiForums Tanzania Itakuwa Simba ya ajabu!!!!

    Sawa lkn mbona akina james kotei hakijaeleweka
  15. B

    JamiiForums Tanzania Itakuwa Simba ya ajabu!!!!

    Bond ya bil 20 sijaona imefanya chochote hd leo.30/6/2019 ni siku ya mwisho kuwasilisha majina Caf.Hadi leo simba haijasajili mchezaji wa nje.James kotei jatima yake haijulikani, Haruna kimy hd leo mtasajili lini na bado zimebaki siku kumi. Tunasikia danadana tu ya akina bwalya na moon kama huyo...
Back
Top Bottom