Jaman cc ambao tulionyimwa mkopo yan NO LOAN tunateseka sana huku vyuoni na tumeappeal lakini chaajabu ni kwmba mpaka sasa loan board ipo kimya sasa wengine wanakosa matumaini ya kuendelea na masomo semister ijayo, af kinachouma zaidi ni kwamba wengine tumewekwa kwenye group la budget exhaustion...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.