Natafuta Nke wa kuoa nisaidieni yupi ananifaa kati ya hawa kumi na mbili?

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
1. Ana tabia ya wizi
2. Muwanga
3. Mchafu sana
4. Kikojozi
5. Mchoyo sana
6. kahaba
7. Mmbeya sana mdomo wake mweusi tiiiiiiii! kila siku kusutwa
8. Ana gubu kama la mzee
9. Mcharuko akiwepo sehemu kila mtu atajua yupo
10. Mlevi mbwa ni wakubeba kila siku kwa ulevi
11. Mzembe
12. Hatulii nyumbani unafikiri anawashwa au kala miguu ya kuku, visafari havimuishi
 
nenda maeneo ya africa sana mida ya jioni utawapata wengi wenye hizo sifa unazohitaji
 
Unatafuta Nke? Abaa weye wa kisiwa kipi? Cha kwanza au cha pili.
 
Me naona umchukue huyo kikojoz coz cku hz kuna pampers za wakubw 4 mo info check mrembo kikojoz.
 
Back
Top Bottom