Habar wana jamii forums mimi ninataka kuanzisha mradi wa kufuga samaki ila sijui chocjotr kuusu mradi huo na ninahitaj ushaur maelekezo kwa yeyote mwenye ujuzi huoo ..kwani eneo husika ninalo bado kulijaza majitu.
Mueshmiwa izopesa unazowapa zawadi wasanii muhimbili wagonjwa wanalala chini laia wako wanakosa hata ya kununua panadol bac jenga hata kiwanda uwaajili ombaomba na vilema wafanye kaz kulingana na viungovyao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.