Recent content by Bonikita

  1. B

    Nahitaji Mkopo bank kwa kuweka dhamana nyumba

    Asante kwa ushauri mzuri ndugu
  2. B

    Nahitaji Mkopo bank kwa kuweka dhamana nyumba

    Vipi kuhusu masharti au nikiwa na nyumba tu tayari mkopo napata.
  3. B

    Nahitaji Mkopo bank kwa kuweka dhamana nyumba

    Habari wakuu,mi ni mfanyabiashara mdogo kariakoo natumia kitambulisho cha mfanyabiashara. Biashara yangu ina wateja wengi kiasi kwamba mzgo naokuwa nao hautoshi nimefikiria kwenda kukopa bank niweke dhamana nyumba ila nyumba iko mkoani. Naomba kwa yeyote anaefahamu kuhusu mikopo anipe muongozo...
  4. B

    Msaada kuhusu bodi ya mikopo HESLB

    Mimi ni mmoja kati ya loan beneficiaries wa mwaka 2015/16 ila swali langu ni kwamba lini hizo pesa zitakuwa deposited kwetu sisi wahusika coz wengine tunazitegemea hizo ili twende chuo na vyuo tayari vishafunguliwa wengine bado tuko nyumbani kwa tatizo la ukosefu wa pesa
Back
Top Bottom