Recent content by Boniface92

  1. B

    JamiiForums Tanzania F math Eti Ninaweza kwenda combinations za biashara

    Wewe huyu ECA ana uwezo wa kwenda kusoma Private thou Govt hawawez kumchagua huko, na A level akipata S ya BAM atakuwa na uwezo wa kusoma hata degree za biashara...unless apate F
  2. B

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma nini na chuo kipi kwa division four point 33

    nimereply comment ya huyo jamaa hapo aliyecomment u2mbo, check comment ya Aranblue
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma nini na chuo kipi kwa division four point 33

    Unatafuta kutukanwa
  4. B

    JamiiForums Tanzania F math Eti Ninaweza kwenda combinations za biashara

    kiserikari huwez pata post ya comb inayoinvolve maths but kwa Advance za Private zipo na unaweza ukasoma comb za business zozote hata EGM...sema ndo hvyo yabid ukaze
  5. B

    JamiiForums Tanzania Je afanyaje?

    huyo hawezi kwenda A'level coz hajafikisha 3 crdts in overall
  6. B

    JamiiForums Tanzania UDSM cha 25 kwa ubora Africa na 4,229 Duniani

    please dont tell me these ranking topics are happening again
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania one ametoka shule gani

    kwa mara ya kwanza TZ hakuna one ya .7 wala .8 ni .9 tena hazfiki hata nne nafkiri
  8. B

    JamiiForums Tanzania Private candidate: Ana c tatu (english na kiswahili na civics) nishaurini aende wapi?

    anapata shule huyo but private kwa hiyo hiyo HKL na F yake zipo private zinazokubali,,,criteria ya mtu kufanya pepa ya form 6 ni mtu awe na credits 3 za o-level haiangalii combination yako ulipataje grades,,,tumesoma na watu waliokuwa na F's kwenye moja ya masombo kwenye combinations n still...
  9. B

    JamiiForums Tanzania UDSM chapaa Afrika;sasa cha sita!

    when will these :argue: topics be over people?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Je, chuo ulichosoma kimeshika nafasi ya ngapi Afrika?

    waambie hao, waendelee piga tu kelele humu na hizo Rank zao
  11. B

    JamiiForums Tanzania Je, chuo ulichosoma kimeshika nafasi ya ngapi Afrika?

    sasa maji2 had leo wanaendelea kubishania Rank za vyuo, wa2 wamemaliza vyuo ambavyo haata havipo hapo kwenye list na hvyo hvyo mnavyovidharau still tunawaona wana kazi nzuri na maisha yanaenda, sielewi inakuaje hapo...watu wote wanajing'ang'aniza kuingia UD hata kwa course ambazo hazikuwa kwenye...
  12. B

    JamiiForums Tanzania wakali wa Ds 101,development studies,fungua hapa utoe maoni,maana ni zaid ya ubishi

    ...watu wanazunguka tu hadi sa iv sijaona aliyejibu bado
  13. B

    JamiiForums Tanzania Chondee chondee wapendwa nakosa rahaa...

    sasa hivi washarekebisha mi nimefanikiwa
  14. B

    JamiiForums Tanzania Chondee chondee wapendwa nakosa rahaa...

    na mimi ni kitu hicho hicho sijui ni kwa nn kwenye hiyo step inaleta hiyo error
Back
Top Bottom