Recent content by Bonheur Travels Tanzania

  1. Bonheur Travels Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nafasi 5 za kazi ya kushona (corporate uniforms), jaribu bahati yako

    Zimebaki siku 3. Tunaendelea kupokea maombi. Zingatia location ni Dar es Salaam.
  2. Bonheur Travels Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nafasi 5 za kazi ya kushona (corporate uniforms), jaribu bahati yako

    Update: Kazi inaanza rasmi Jumatano tarehe 01/06/2022. Tunaendelea kupokea maombi. Karibuni.
  3. Bonheur Travels Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nafasi 5 za kazi ya kushona (corporate uniforms), jaribu bahati yako

    Wadau, Leo tumekuja na fursa ya kazi (paid opportunity) kwa mafundi waliopo Dar es Salaam. Inaweza ikakufaa wewe au mtu unayemfahamu. Mfikishie taarifa hii. Tunahitaji Mafundi 5 wenye ujuzi wa kushona nguo za aina zifuatazo: 1. Suruali 2. Makoti ya wapishi wa hoteli 3. Mashati 4. Apron 5...
  4. Bonheur Travels Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kusherehekea sikukuu ndani ya nchi yako kuna raha yake

    Kwa upande wetu, sisi tumeandaa package hii kwa Zanzibar. Hapo utakacholipia labda ni nauli na lunch tu. Lakini breakfast, dinner na moments za ufukweni zote zimo kwenye package kwa siku zote utakazokaa huko. Kupanga ni kuchagua.
  5. Bonheur Travels Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kusherehekea sikukuu ndani ya nchi yako kuna raha yake

    Mfano mzuri ni hapo Zanzibar. Ukiwa na bajeti ya shilingi 160,000/= tu unaweza kufikia beach hotel nzuri sana na ukaenjoy mandhari kwa siku 3 hadi 4 bila malipo ya ziada. Starehe wala sio gharama. Ni mipango tu.
  6. Bonheur Travels Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kusherehekea sikukuu ndani ya nchi yako kuna raha yake

    Ni raha sana kusafiri kwenda likizo nchi za nje na kutalii. Lakini kuna raha pia kama utaweza kwenda maeneo ambayo hujawahi kufika hapa hapa bongo. Kwa mfano, Tanzania siku hizi imebadilika sana. Kuna sehemu nyingi sana unaweza kwenda kwa bajeti ndogo na ukafurahia sana moments ukiwa mwenyewe...
  7. Bonheur Travels Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ukijipanga vizuri, mwaka huu unaweza kwenda Ulaya kufurahia maisha

    Bila shaka. Tutajuzana.
  8. Bonheur Travels Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ukijipanga vizuri, mwaka huu unaweza kwenda Ulaya kufurahia maisha

    Gharama tajwa ni kwa mtu mmoja ila baadhi ya huduma huko mtakuwa mnatumia watu wawili, wawili. Mfano kwenye gari la mizunguko na guides n.k.
  9. Bonheur Travels Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ukijipanga vizuri, mwaka huu unaweza kwenda Ulaya kufurahia maisha

    Tunamsaidia mama kuupiga mwingi!
  10. Bonheur Travels Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ukijipanga vizuri, mwaka huu unaweza kwenda Ulaya kufurahia maisha

    Gharama za visa tayari zimo kwenye package. Passport itabidi uombe mwenyewe uhamiaji. Bahati nzuri Muda bado upo.
Back
Top Bottom