Recent content by bongoone

  1. B

    GE2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

    They are of the same type of style from management point of view Mwapachu,i respect ur comment but it solidily cementing n biased one.
  2. B

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Wadau hatimaye nimevuna rasmi heka 30 zangu..lindi,matokeo uamekua tofauti kabisa pamoja na jitihada zote 1.5tons badala ya 11tons..bei zinazidi kushuka,matokeo mabovu yamechangiwa na jua kali. Aluta continua.
  3. B

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Lindi nako waliopanda mwenzi wa kwanza wameanza kuvuna taratibu.
  4. B

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Kaka let me check aisee sikujua kama swali lako zito namna hiyoo.
  5. B

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Inategemea lakini ni umakini wa mpandaji kawaida mbegu 4,5 mpaaka 6 akiweka nyingi unaota kama mchicha baadae unaingia gharama kubwa ya kupunguza idadi ya miche.
  6. B

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Hata mimi nimetumia hiyo ya chupaa pia na inafanya kazi sema wakichoka ndo shidaa
  7. B

    Hesabu za matipper ya Mchanga

    Use 70/20 percent rule....kama ujuavyo transport inatuexpose kwenye biashara nyingi sana kazi ipoo kuzifanyia fursaa..tunabebeshwaa mizigo mingi sasa why ubebee muda wotee ifanyie kazi value chain ya transport
  8. B

    Hesabu za matipper ya Mchanga

    Mtanganyika nimekupa hint hapoo ya 70%utilization by ur own usage,ifanyie kazi na utaona mabadiliko makubwa sanaaa,transpoters wana mitaji mikubwa lakini hawajitambui
  9. B

    Hesabu za matipper ya Mchanga

    Nimefanya biashara hiyo kwa zaidi ya miaka sabaaa
  10. B

    Hesabu za matipper ya Mchanga

    Angalizo tuu wadau sina shaka na mahesabu za magari haswa malori aina ya tipper,tatizo kubwa la biashara hii ni maintanance cost ziko juu sanaa,unaweza pokea hesabu ya miezi mitatu kwa faida lakini mwezi wa nne ikala yote na kukopaaa juu,achilia mbali spare fekii na tabia za madereva...
  11. B

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    @MrGenius vipi kuhusu vifaa vya kupandia kwa Tanzania vipo ?
  12. B

    Hesabu za matipper ya Mchanga

    Hizo gari kutoka uk Mtanganyika ni model gani?tractor unit?tipper 4x8 which ndo nzuri kuhimili road zetu?
  13. B

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Pia nadhani muda si sahihi jaribu kujipanga msinu ujao G3T,kilimo kinahitaji maandalizi makubwa kabla ya kupanda....kuliko inavyodhaniwa ushauri wangu nendaa maeneo yenye mvua za kutosha Lindi, Sumbawanga, Manyara
  14. B

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Fanya kwanza tafiti kwa maeneo ya mlandizi kama ni favourable na angalia katika kipindi cha miaka 2 to 3 mavuno yalikuaje per ekari ni muhimu.
Back
Top Bottom