Recent content by Bongo Contents

  1. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Lodge za kulipia kwa siku zinazosupport kuishi?

    Wabongo mnapenda AC
  2. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Lodge za kulipia kwa siku zinazosupport kuishi?

    Tatizo n hamna chumba cha kulipia kwa mwezi mmoja. Hio 200k ipige mara sita c n million moja point hayo mm ndo siyawezi, nitapoteza mtaji kwenye chumba.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Lodge za kulipia kwa siku zinazosupport kuishi?

    Sio kimbembe, kila mzazi n supportive, ni vile tu hujapita kwenye msingi anayoiona yeye kua n sawa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Lodge za kulipia kwa siku zinazosupport kuishi?

    Good Story mkuu, ila mwaka huu hauishi, naitoroka hii nchi, hivyo kujenga hapa so plan zangu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Lodge za kulipia kwa siku zinazosupport kuishi?

    Huo ujinga unaohusu miaka mitano sifanyi, kama ni ushauri, shauri kitu kinachochezea miezi mitatu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Lodge za kulipia kwa siku zinazosupport kuishi?

    Sijasema lazima iwe upanga kiongozi, nimerefer eneo lenye apartments
  7. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Lodge za kulipia kwa siku zinazosupport kuishi?

    Hizo ndo nazo ongelea kiongozi, ety ipi hapo hua n kali kwa ndani
  8. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Lodge za kulipia kwa siku zinazosupport kuishi?

    Kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Lodge za kulipia kwa siku zinazosupport kuishi?

    Umeelezea kama customer support Jamii Forums. Asante sana [emoji120]
  10. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Lodge za kulipia kwa siku zinazosupport kuishi?

    Sasa hio 20k ukiipigia miezi sita c ni million 3 point, au wewe ndo hujanielewa
  11. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Lodge za kulipia kwa siku zinazosupport kuishi?

    Kwan hapo shida nn mkuu
  12. B

  13. B

    Sina hela ya kwa miezi, nina hela ya kwa cku. Pia sihitaji kununua vitu, nahitaji vyakukuta
  14. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Lodge za kulipia kwa siku zinazosupport kuishi?

    Habarini ndugu zanguni [emoji2321] Mimi hua napenda kuishi kwenye apartments kama zile za Upanga ila ndio million moja point ya papo hapo kulipia miezi kadhaa kwangu ni mtihani. Hivyo nilikua nauliza kwa wanao zifahamu lodge au hotel kali za 15,000 mpaka 20,000 kwa siku. Wanisanue, Angalau...
Back
Top Bottom