Recent content by BONGO 3D

  1. BONGO 3D

    Bondia Mwakinyo ni Mfano halisi wa Watanzania walio wengi katika nyanja mbalimbali!

    unawajua wa asia wewe ndugu yangu, unakuta mtu kaweka fulani ataapoigwa round ya 4 ka place usd millions 5 anajua navuna usd millions 10, wewe kupewa usd 300,000 anaona shida gani
  2. BONGO 3D

    Bondia Mwakinyo ni Mfano halisi wa Watanzania walio wengi katika nyanja mbalimbali!

    viatu hadi interview ya kufeki kulia alikuwa kavivaa, intervuiew ya kwanza alikuwa anacheka kabisa baada ya kujua reaction hadi ya mshindi ni mbaya na mashabiki wamekasirika ikabidi ahojiwe huku anajiliza sasa begi lilipotea siku 4 nyuma walishindwa kununua vingine? kwamba waliambiwa wasubiri...
  3. BONGO 3D

    Bondia Mwakinyo ni Mfano halisi wa Watanzania walio wengi katika nyanja mbalimbali!

    kauza gemu mkuu hela ya kupigana ni usd 100,000 watu wa betting unajua wanatoaga ngapi haswa wale wa asia? tena unaambiw around ya 4 anguka, hata mshhindi alibaki kaduwaa,wachambuzi wa sky wamesema jamaa alifanya makusudui, comments za mashabiki ni kwamba hawataki tena jamaa apewe pambano huko
  4. BONGO 3D

    Bondia Mwakinyo ni Mfano halisi wa Watanzania walio wengi katika nyanja mbalimbali!

    KAUZA GEMU KWA WATU WA BETTING ILA COMMENTS ZILIZOKO SKY SPORTS BOXING SIDHANI KAMA KUNA PROMOTER ATAMUITA TENA UK, HATA HUYO MZUNGU ALIBAKI AMEDUWAA
  5. BONGO 3D

    Nimechati na mwandishi wa Afrika Kusini: wazungu wanaisema vibaya Simba. Zoran anafanya makusudi avunjiwe mkataba na kijana wake walipwe mamilioni

    wachezaji wa bure na ubahili wa MO dewji unahusiana nini na mada niliyoiweka hapa wewe mwenye IQ kubwa?
  6. BONGO 3D

    Nimechati na mwandishi wa Afrika Kusini: wazungu wanaisema vibaya Simba. Zoran anafanya makusudi avunjiwe mkataba na kijana wake walipwe mamilioni

    hawa wachezaji wa bure wanahusiana nini na mada niliyopost kuhusu makocha wambeya? whats your point mr genius?
  7. BONGO 3D

    Nimechati na mwandishi wa Afrika Kusini: wazungu wanaisema vibaya Simba. Zoran anafanya makusudi avunjiwe mkataba na kijana wake walipwe mamilioni

    mbona unarukaruka si ulisema mo anachukua wa bure wawe nyota wawe mwezi wamelipiwa hela, kwani nyota ni kina nani mkuu? KAMBOLE, JOYCE, BIGIRIMANA?
  8. BONGO 3D

    Nimechati na mwandishi wa Afrika Kusini: wazungu wanaisema vibaya Simba. Zoran anafanya makusudi avunjiwe mkataba na kijana wake walipwe mamilioni

    unajua sijui nini kinawaaminisha hawa watu kwamba wao wamemwaga mihela wakati ukiangalai sajili za mwaka huu za kwao ni ma free agent yote
  9. BONGO 3D

    Nimechati na mwandishi wa Afrika Kusini: wazungu wanaisema vibaya Simba. Zoran anafanya makusudi avunjiwe mkataba na kijana wake walipwe mamilioni

    hauna haja ya kusingizia wewe ni simba ili ku make point yako boss wangu, outarra,okwa,okrah, akpan, kiyombo,kapama...hela imelipwa hapo halafu hoja ni kuhusu umbeya wa wazungu na wabongo kumsaliti Barbara na kumsema vibaya kwa makanjanja ya nje ya nchi sasa kupata wachezaji wa bure kunahusiana...
  10. BONGO 3D

    Nimechati na mwandishi wa Afrika Kusini: wazungu wanaisema vibaya Simba. Zoran anafanya makusudi avunjiwe mkataba na kijana wake walipwe mamilioni

    NAFIKIRI simba imenunua wachezaji wengi cash kuliko yanga mwaka huu,jibu kwa fact ukitoa ki azizi nani kanunuliwa pale? Halafu mada inahusu backstabbers na wambeya wenye ngozi za kizungu na wabongo wengine wanaoanika chupi za simba kwa makanjanja ya kimataifa
  11. BONGO 3D

    Nimechati na mwandishi wa Afrika Kusini: wazungu wanaisema vibaya Simba. Zoran anafanya makusudi avunjiwe mkataba na kijana wake walipwe mamilioni

    wapi nimesema lolote kuhusu maisha ya mtu? nazungumzia yupi aliyefanikiwa baada ya kutoka simba, ndugu yangu nimeleta hii mada kuhusu umbeya una o leak , hao wazungu najua hamuamini kama ni backstabbers na wambeya lengo ni kutaka Barbra aYAjue haya kama alikuwa hajui
  12. BONGO 3D

    Nimechati na mwandishi wa Afrika Kusini: wazungu wanaisema vibaya Simba. Zoran anafanya makusudi avunjiwe mkataba na kijana wake walipwe mamilioni

    Gomes hana kazi nzuri yuko jordan huko, ni kishingo tu aliyefanikiwa, Uchebe ndo kabisa kila siku kususa afc leopards mshahara ni tabu
  13. BONGO 3D

    Nimechati na mwandishi wa Afrika Kusini: wazungu wanaisema vibaya Simba. Zoran anafanya makusudi avunjiwe mkataba na kijana wake walipwe mamilioni

    ungejibu hoja boss wangu.... wazungu wambeya wana leakisha tu mambo ya management ya simba nje nje hadi south africa wanajua kilichofanyika hata leo mchana
Back
Top Bottom